Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.