Uongozi mpya wa CHADEMA hauna mpango mkakati wakujitegemea kiuchumi wala kujiendesha bila kuomba pesa kwa wananchi masikini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
 
Vyama huendeshwa kwa michango ya wanachama wao na wafanyabiashara wenye mapenzi na vyama hivyo.

Vyama vya siasa havifanyi biashara wala usitegemee viendeshe miradi.

Hiyo ruzuku pamoja na michango ya wananchi na marafiki inatosha.

Na hilo ni dunia nzima.
 
huo ni ulaghai au utapeli wa kisiasa?

Mungu ibariki Tanzania.
Yaani wameingia chaka mbuzi hawana mchungaji!
 
CHADEMA itajutia sana kumuacha Mwamba na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe na kumpa uenyekiti huyo Mropokaji kuongoza chama.
 
Wanasomesha watoto shule za bei Kali,wanataka kumiliki hotel za hadhi ya juu,kuendesha magari ya kifahali na kafanikiwa maisha kiujumla haya mambo bila viujanja ujanja na kupata forum ya kupigia pesa hasa kutoka kwa wanyonge huwezi kufanikisha hayo mambo.
 
Kadai chenji ya ada yako shuleni. Clearly walishindwa kukutoa ujinga.

Chama cha siasa kijiendeshe bila michango ya wanachama? Hicho ni chama cha siasa au kampuni ya biashara?
 
Vyama huendeshwa kwa michango ya wanachama wao na wafanyabiashara wenye mapenzi na vyama hivyo.

Vyama vya siasa havifanyi biashara wala usitegemee viendeshe miradi.

Hiyo ruzuku pamoja na michango ya wananchi na marafiki inatosha.

Na hilo ni dunia nzima.
ni ujambazi kuchukua michango wa wananchi kupitia ruzuku halafu tena unakuja kumtapeli mwanananchi kwa kumrubuni akuchangie hela ya kula, kunywa na kuendesha shama chako,

ulaghai kwa maskini ni dhambi 🐒
 
CHADEMA itajutia sana kumuacha Mwamba na Jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe na kumpa uenyekiti huyo Mropokaji kuongoza chama.
yaan huyu kibaka wa demokrasia waliomchagua atawaaibisha na kuwafedhehesha kwa kuomba omba kuchangiwa pesa mpaka akili ziwakae sawa,

kwasabb hana maono mengine Zaid ya kuomba omba kuchangiwa pocket money,
 
Wanasomesha watoto shule za bei Kali,wanataka kumiliki hotel za hadhi ya juu,kuendesha magari ya kifahali na kafanikiwa maisha kiujumla haya mambo bila viujanja ujanja na kupata forum ya kupigia pesa hasa kutoka kwa wanyonge huwezi kufanikisha hayo mambo.
dah!
ila anaomba sana aise huyu kibaraka na kibaka wa siasa za Chadema 🐒
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Takataka, aliyewafanya watz kuwa masikini ni ccm
 
Kadai chenji ya ada yako shuleni. Clearly walishindwa kukutoa ujinga.

Chama cha siasa kijiendeshe bila michango ya wanachama? Hicho ni chama cha siasa au kampuni ya biashara?
utashenyentwa sana gentleman,

yaani chama inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku, lakini tapeli anaona bado haitoshi anataka tena awakamue kitapeli eti mumchangie pesa ya maji, chakula, ya kujikimu na pesa ya kuendesha chama,

nanyi kama mazuzu mpompo tu mnachangia huku mkiendelea kushenyentwa na maisha magumu 🐒
 
Nchimbi Juzi ,kachangisha billion 1 (kama sio uwongo)
Kwajili yaujenzi wa ofisi ya ccm mkoa wa singida ....unashangaa nn CHADEMA kufanya hivyo

una boa
 
Back
Top Bottom