Uongozi mpya wa CHADEMA hauna mpango mkakati wakujitegemea kiuchumi wala kujiendesha bila kuomba pesa kwa wananchi masikini

kuomba omba pesa ni utapeli wa fedheha binafsi, ndugu jamaa na marafiki sio siasa gentleman,

singinda hawamtaki kwasabb tabia ya kuomba omba pesa inawaiabisha, wanaonekana ni watu wavivi na ombaomba kwasabb ya huyo tapeli wa siasa,

akili ni kutafuta pesa kwa mipango na bidii sio kuomba omba πŸ’
 
Nani kakwambia wananchi wanataka CDM ya matajiri? Ni hivi CDM ni sehemu ya wananchi hawa maskini ambao wameapa kuichangia ije mvuaama lije jua la utosi, sasa wewe chawa wa CCM unaumia nini??
relax basi ndugu mtapeliwa,

umechangia vyama vya siasa kwa ruzuku ambayo chadema pia inapata, lakin bado huyo tapeli wa siasa kwa kutia huruma bado anawarubuni kumchangia pesa za bapa na nyama,

Mtashenyentwa maokoto na huyo tapeli hadi akili ziwakae sawa πŸ’
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo.

Mtasubiri sana Lissu ana upeo mkubwa sana ndugu yangu jamaa ni genius hamta muweza hata siku moja. Machawa mtakuja na kuondoka Lissu atakuwepo. Mama katumia mabilioni kashidwa kumzuia . Magu kafa yeye mnafikiri mtamweza mtu ambaye kalindwa na Mungu. Mama asiko badilika ataondoka yeye
 
Bwahahaahahaaa! Ndo mnavyojifariji nyumbu?!!!! Poleni sana, Samia ni mpango wa Mungu zaidi kuliko huyo tapeli mwenye watoto wanaokula maisha ulaya. Ushachangia kwanza mkuu?!! Fanya fasta watu Wana mpango nao mchango huo
 
Mk
πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ’­
 
Bwahahaahahaaa! Ndo mnavyojifariji nyumbu?!!!! Poleni sana, Samia ni mpango wa Mungu zaidi kuliko huyo tapeli mwenye watoto wanaokula maisha ulaya. Ushachangia kwanza mkuu?!! Fanya fasta watu Wana mpango nao mchango huo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi kuna mpango wa Mungu wa wizi wa kura na kuteka wapinzani? Vitu vya Mungu vinajionyesha
 
Mbowe alitumia milioni 700 na Wenje 400 milioni na wameshidwa kwasababu ya nguvu ya umma. Pesa zetu zitashia kujenga mahekalu na kujitajirisha kwa Samia family lakini kupendwa hapa hampo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi kuna mpango wa Mungu wa wizi wa kura na kuteka wapinzani? Vitu vya Mungu vinajionyesha
chadema wamemaliza uchaguzi na kutekana wameacha na bullet proof vest haivaliwi tena saivi kuelekea chadema HQ, hivi kulikoni hasa gentleman πŸ’
 
Akutekeni nani?!!!! Kwa lipi?!!!!!!! Angalieni mahusiano yenu na wanaowadai huko.

Kwani CCM kila mtu amapenda Mama kupendekezwa kwa njia ya kutangazwa? Ina maana na CCM kuna mpasuko? Tusizushe mambo ambayo hayapo. Hizi kiki hazitafanikiwa. Watanzania wanataka vitu vya msingi vichache tu. Mama akifanya hivyo vitu hapo hata pata shida kutafuta uchawi ndani ya chadema ambao haupo. Mkidharau mtapoteza muda na kurupi palepale

1. Mapambano ya rushwa
2. Haki za wapiga kura na tume huru
3. Matumaini ya ajira kwa vijana
4. Mikataba ya kitaifa iwe na uwazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…