Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
kuomba omba pesa ni utapeli wa fedheha binafsi, ndugu jamaa na marafiki sio siasa gentleman,Siasa ni akili, siasa ni rasilimali, siasa ni ujanja, siasa ni usasa, . Siasa haihitaji sifa za kijinga Wala kukomalisha 'ngwimbi' kwa hoja murua za 1960s, siasa ni umafia na ukauzu wenye tija mbele (si sifa kujifanya kuweka wazi Kila kitu, Kuna vingine watawaliwa hawapaswi kujua hata iweje.....huo ndo uongozi, hata mutumie Kuna mambo walikuwa wanamalizana wenyewe wa juu tu Ili mambo yaende). Sasa Ukija mbiombio kwa sifa za kijinga kwamba wewe 'muaminifu' mpaka Mungu mwenyewe anashangaa, kwamba Kila inajopatikana sumni basi watoto wote lazima wajue imetoka wapi (wababa wakati mwingine tunakumbana na makofi huko ktk kutafuta ugali; watoto hawapaswi kujua Bali kushangilia tu upatikamaji wa mlo na kutekeleza lile linalopaswa kutekeleza), lazima bungo uteme muda si mrefu.
singinda hawamtaki kwasabb tabia ya kuomba omba pesa inawaiabisha, wanaonekana ni watu wavivi na ombaomba kwasabb ya huyo tapeli wa siasa,
akili ni kutafuta pesa kwa mipango na bidii sio kuomba omba 🐒