Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

WEWE unaijua PhD kweli?? Au unatania?? Acha utani na Elimu ile bana...Unadhani Hiyo ni kucheza rede...msilete mchezo nyie...Ujanja ujanja ....ndio mana unakutana na Madk wenu mchongo very shallow...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh!!!![emoji23][emoji119][emoji23][emoji119].

Niliona mtoto wa mjini unatoa experience yako ya kuruka kwenye daladala kwenye ule uzi wa mwamba aliyelamba mchanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha

Kweli wkt nasoma shule ya msingi ukonda nlipiga sana kazi part time job
Unajua miaka ya nyuma watu wa kwanza kuleta macoster na kufanya mageuzi kwenye usafiri walikuwa mabaharia
Italy trans,time will tell,Jimmy to London
Etc majina ya macoster

Ova
 
Born in townπŸ€—,mtoto wa mjini ,,nipe madili basi
 
Hiki chuo cha UDom kinazidi kujengewa image mbaya kadri miaka inavyosonga. Kuna interview fulani ya kazi rafiki angu alishinda, wenzake wote walifyekwa kisa tu wamesoma UDom, yeye kasoma kwingne.
Unadhani basi kile ni chuo hata hizo degree za wanafunzi wao zenyewe zinatia mashaka



Wana kazi ya kushinda kula wali ujasi wanavimbiwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nitonye kidogo bana
Tulikuwa ugenini mjengoni
Tulirukiwa,ss kna mwenzetu akawa anasema
Mbona naskia Ova Ova Ova si unajua radio call
TenaπŸ˜‚πŸ˜‚
Tukamwqmbiaa wazee haooo ugeni tumepataπŸ˜‚πŸ˜‚
Ila mwisho wa siku mambo yalienda mukide tu
Walikosea nyumba

Ova
 

Watanzania sio mbumbumbu ila mnapenda sana kufuatilia mambo yasiyo na impact kwenye changamoto za maisha yetu. Watanzania Ni watu wanaopenda kujitesa na kuona wengine wanateseka. Nani alikwambia lazima uweke online PHD yako. Abstrakt sawa. Papers nk ndo hizo za kupublish kabla ya hiyo kazi kwa kuwa Ni requirements za vyuo.

Kumbukeni kuwa siku hizi hizo kazi zinauzwa Amazon na watu wanapata hela.

Kwa ulaya lazima kazi Upload online kwenye mitandao wa vyuo kwa ajili ya kucheki plagiarism na mambo mengine na Kuna percentage then unaprint ndo unapeleka kwenye ofisi za chuo. Nashangaa mnasema PHD inaachwa online ili mkopi au mfanyeje. Abstrakt na Title Ni lazima. Na mkumbuke at the end of the day PHD anatoa professor wako. Hao wengine Ni wapambe tu. So kama professor anataka kujivunjia heshima atoe tu PHD kama pipi.

Na mfahamu kuwa mtu anaweza vuliwa hiyo PHD kama haya mambo ya plagiarism na mengineyo yatagundulika baadaye.
 
πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™πŸ™ŒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…