KERO Uongozi wa Kampuni ya ulinzi ya G4S uangalie maslahi ya Wafanyakazi kuna mambo hayapo sawa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi.

Tumewekewa chini ya 480k na wengine chini ya 400k kulingana na maelezo ya viongozi wanasema kiwango kipya kinajumuisha overtime tu ila sio basic ambayo inapaswa kuwa 299k lakini wanatumia basic ya zamani ambayo ni 222k.

Sasa huku hatuelewi naomba jambo lifike kwa wahusika yaani Wizara husika na mishahara yetu tunalipwa kwa saa, sasa huwa malipo hayajulikani ukiwa na masaa 324 au 312 au 300 na mwenzako akawa na hayo hayo na sikukuu mkalingana, wote hakuna absent wala sick, ila mshahara mnaweza kuzidiana 10k-30k.

Sasa sisi kama walinzi wa hii Kampuni ya G4S tukihoji hatupati majibu sahihi, na kuna jambo la Askari/security kuugua kazini ama kujeruhiwa kazini, kampuni haitoi gharama ya matibabu zaidi ya usafiri tu, sasa hili jambo linashusha molari ya ufanyaji kazi.

Imekuwa ni kero sana ukiwaambia ofisini wanasema hakuna bajeti hiyo ishaisha hata kama ni tarehe 1, sasa jamani mambo hayako sawa napata matatizo kazini afu matibabu napewa na ndugu, jamaa na marafiki na jambo lingine ukipewa likizo kwa mujibu wa mkataba lakini hupewi hata nauli wala chochote hat kama ukifiwa na mama, baba, mke, mume, mtoto labda ufe mwenyewe.

Ndio watasimamia usafiri na jeneza ila taasisi inaishia kukupa pole tu na kuna staff pale ofisini wao wanakukopesha ukipata likizo/matatizo, ila kampuni haina msaada wowote. Naomba mfanye uchunguzi kuhusu hayo
 
Serikali ya mauaji CCM yanawafanya watanzania kuwa watumwa ndani ya nchi yao.

Unaweza Kuta Kuna kiongozi serikalini ana share na Hilo Kampuni.

Ma CCM ni makatili Sana.
 
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi.

Tumewekewa chini ya 480k na wengine chini ya 400k kulingana na maelezo ya viongozi wanasema kiwango kipya kinajumuisha overtime tu ila sio basic ambayo inapaswa kuwa 299k lakini wanatumia basic ya zamani ambayo ni 222k.

Sasa huku hatuelewi naomba jambo lifike kwa wahusika yaani Wizara husika na mishahara yetu tunalipwa kwa saa, sasa huwa malipo hayajulikani ukiwa na masaa 324 au 312 au 300 na mwenzako akawa na hayo hayo na sikukuu mkalingana, wote hakuna absent wala sick, ila mshahara mnaweza kuzidiana 10k-30k.

Sasa sisi kama walinzi wa hii Kampuni ya G4S tukihoji hatupati majibu sahihi, na kuna jambo la Askari/security kuugua kazini ama kujeruhiwa kazini, kampuni haitoi gharama ya matibabu zaidi ya usafiri tu, sasa hili jambo linashusha molari ya ufanyaji kazi.

Imekuwa ni kero sana ukiwaambia ofisini wanasema hakuna bajeti hiyo ishaisha hata kama ni tarehe 1, sasa jamani mambo hayako sawa napata matatizo kazini afu matibabu napewa na ndugu, jamaa na marafiki na jambo lingine ukipewa likizo kwa mujibu wa mkataba lakini hupewi hata nauli wala chochote hat kama ukifiwa na mama, baba, mke, mume, mtoto labda ufe mwenyewe.

Ndio watasimamia usafiri na jeneza ila taasisi inaishia kukupa pole tu na kuna staff pale ofisini wao wanakukopesha ukipata likizo/matatizo, ila kampuni haina msaada wowote. Naomba mfanye uchunguzi kuhusu hayo
Mkuu yale ni matamko ya kisiasa tu unachoandika hapa hakuna anaejali serikali hii haijali chochote unapoteza nguvu yako tu. G4S bandari terminal 2 pale wana njaa hatari wanaomba omba chakula mpk wanatia huruma
 
Komaeni wakuu..
Ndo nyie nyie mkija inbobo mnashawishi watu wajiunge
 
Kampuni ya Wahindi watoa rushwa kwa viongozi wa serikali.
 
Mkuu mpe connection ya kazi huyu kijana japo nyonde nyonde apunguze kuomba omba vitu vya kijinga Foffana

Mkuu kazen mpaka mpate hak yenu
 
MKUU SAMAHANI NINA DOGO LANGU NATAKA AJIUNGE ILA HAKUPITA JKT NAFANYAJE MKUU
 
Back
Top Bottom