Huwezi tenganisha NATO na Ujerumani.Hitler na itikadi ya Unazi ni tusi ndani ya Ujerumani .Kuwepo kwa wanaoshabikia unazi ni sawa tu na wewe unavyofurahia kupotea kwa akina Saanane,matendo ya akina Makonda na Sabaya nk.Shetani yupo pamoja na malaika hapa DunianiNani kakudanganya Adolf hakumbukwi German na chama chake cha nazi?
Hakumbukwi na wahuni wa NATO na vibaraka wao wa kiyahudi ndio sababu hadi wametunga sheria kuzuia watu kumkumbuka lakin bado maarufu