balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Chama cha Nazi kilishakufa na alama zake zote ni outlawed.Nani kakudanganya Adolf hakumbukwi German na chama chake cha nazi?
Hakumbukwi na wahuni wa NATO na vibaraka wao wa kiyahudi ndio sababu hadi wametunga sheria kuzuia watu kumkumbuka lakin bado maarufu