Nataka twende zaidi ya hapo. Jeneza la mwili wake siku moja liwekwe mbele ya hakimu. Kisha hukumu itolewe nafsi za watu ziponeHiyo hukumu aliyopewa ni stahiki yake kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka twende zaidi ya hapo. Jeneza la mwili wake siku moja liwekwe mbele ya hakimu. Kisha hukumu itolewe nafsi za watu ziponeHiyo hukumu aliyopewa ni stahiki yake kabisa
Waulize wafuatao kuhusu mabaya ya huyu jiwe:-Hakuna baya hata moja alilofanya pia.
Tuulize Watanzania wengi kuhusu mema ya shujaa wa Afrika.Waulize wafuatao kuhusu mabaya ya huyu jiwe:-
Zitto
Bulembo
Mzee Diallo
Askofu Mwingira
Hahaha! Shujaa? Shujaa wa kuchoma vifaranga toka nchi jirani?Tuulize Watanzania wengi kuhusu mema ya shujaa wa Afrika.
Shujaa aliyepigania haki za Watanzania.Hahaha! Shujaa? Shujaa wa kuchoma vifaranga toka nchi jirani?
Shujaa my foot!
Huyu nae anashida zake eti uongozi ina ya JPM hsutakiwi tz...sie watanzania ni tunauhitaji... Mtamchafua sana ila ndo hivyo yuko mioyoni mwetu siku zoteUongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.
Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.
Nafikiri umefanya typing error. Ulikusudia kuandika "kichaa aliyePIGANA na haki za watanzania"Shujaa aliyepigania haki za Watanzania.
WaongezeNdio ulivyotenengenezwa kuamini hivvyo bdio sababu Rais wa Marekan alieamuru mabomu ya Nuclear kupigwa kwa Raia wa Japan hayupo kwny orodha yako ya watu katili
Rais wa Marekan alieamuru kuteketeza wanyonge kule Vietnam hayupo kwny orodha ya watu wako katili
Viongozi wa dini sometimes nao si wakuamini saaana.watu walibeba masandarusi ya hela kipindi cha jk pamoja na uongozi wao wa dini.Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.
Akili yako haina, akili .Madoa ya Stglers Gauge, Mfugale na kijazi Flyover, Reli ya mwendokasi, kuhamia Dom, Hospital kubwa za kikanda, ukosefu wa mgao wa umeme.nk hayawezi kufutika
Sasa si mngeelekeza majeshi kwenu Burundi muuane huko,” chembilacho” kutufanyia watanzania mfano wa mauaji ya Japani na Vietinamu. Koma kabisa..Ndio ulivyotenengenezwa kuamini hivvyo bdio sababu Rais wa Marekan alieamuru mabomu ya Nuclear kupigwa kwa Raia wa Japan hayupo kwny orodha yako ya watu katili
Rais wa Marekan alieamuru kuteketeza wanyonge kule Vietnam hayupo kwny orodha ya watu wako katili
Akili yako haina, akili .
Watu na utu wa mwanadamu haupotezewi thamani na vitu.
Ndio maana mnajiita Chawa mara viroboto. Pumbavu kabisa kabisa..
Kiuchumi na maendeleo nchi imesimama hii kwa uaharibifu wa Magufuli.Dom watu sasa hivi wanalia, wote washakimbia huko hakuna hata anayepatamani!
Hayo mengine sijui Stgler, Mfugale n.k mataga na sukuma gang ndiyo mnayojitetea nayo mnaposhindwa kujibu hoja za msingi!
Pohampa na mapenzi ya mwendazake. Okay anakumbukwa kwa kumalizia miradi ya Kikwete kama Ubungu flyover, Ali Hassan Mwinyi Moroko-Mwenge, Taraza flyovers, Salender bridge na yeye kuasisi Bwawa la Nyerere, Kuhamia dodoma, Hospitali ya kanda kujegwa nyumbani kwake mengine pia machungu yapo ikiwa na kubomoa umoja wa kitaifa na kujenga umoja wa kikanda na Sukuma gang.Nani kakudanganya Adolf hakumbukwi German na chama chake cha nazi?
Hakumbukwi na wahuni wa NATO na vibaraka wao wa kiyahudi ndio sababu hadi wametunga sheria kuzuia watu kumkumbuka lakin bado maarufu
Unaona chuki yangu KILA SEHEMU ukipita?Naona hili Kwa chuki yako kila sehemu nikipita
Nafikiri Dalili za kuwa wewe ni HAYAWANI ni kuona Sawa kushiriki mauaji ya watanzania waliokupa HIFADHI ya ukimbizi ulipokimbia kwenu Burundi.Dalili mojawapo ya ukosefu wa akili na msongo wa mawazo ni kutukana tukana hovyo!
Isitoshe hakujenga kwa pesa yake.Sana Sana alitumia hiyo miradi kuhalalisha wizi wake.Vitu vidogo hivi, hata wakoloni walifanya haiwezi linganishwa na haki, uhuru, utu na kuheshimiana