Huwezi tenganisha NATO na Ujerumani.Hitler na itikadi ya Unazi ni tusi ndani ya Ujerumani .Kuwepo kwa wanaoshabikia unazi ni sawa tu na wewe unavyofurahia kupotea kwa akina Saanane,matendo ya akina Makonda na Sabaya nk.Shetani yupo pamoja na malaika hapa DunianiNani kakudanganya Adolf hakumbukwi German na chama chake cha nazi?
Hakumbukwi na wahuni wa NATO na vibaraka wao wa kiyahudi ndio sababu hadi wametunga sheria kuzuia watu kumkumbuka lakin bado maarufu
Vitu vidogo hivi, hata wakoloni walifanya haiwezi linganishwa na haki, uhuru, utu na kuheshimiana
Magufuli alivyokuwa mjinga alidhani kujenga miundo tutamwauidu watu wenye akili hatataki ujinga huu
Kwahiyo uue Watu laki tano ili utuhadae na Daraja kadhaa?
Miaka 5 kawapeleka watu Mhakamani na wakashikiliwa rumande. Mpaka anakufa hakuna hata mmoja ambaye Mahakama ilithibitisha kuwa ni fisadi.
Lile likikuwa ni shetani ndani ya mwili wa binadamu, Liache liendelee kuoza huko jehanam