Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

Omeongea kitu ambacho wengi hawatakikubali kwa kile kinachoitwa ushabiki kindakindaki
Hata wasipokubali wataelewa. Hili liko Wazi wala siyo ushabiki. Serikali au taasisi haiwezi kufanya kitu bila dokezo. Dokezo linandikwa baada ya barua ya mwombaji.
 
Watulie bana serikali haiwezi lipia watu pesa ili wakaangalie pyramids za kina farao.....waende kwa hela zao
 
Back
Top Bottom