Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Apr 2, 2024 #21 Endelea kumiliki mpira huku wenzako wakimiliki magoli nakusonga mbele
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Apr 2, 2024 #22 Factor said: Omeongea kitu ambacho wengi hawatakikubali kwa kile kinachoitwa ushabiki kindakindaki Click to expand... Hata wasipokubali wataelewa. Hili liko Wazi wala siyo ushabiki. Serikali au taasisi haiwezi kufanya kitu bila dokezo. Dokezo linandikwa baada ya barua ya mwombaji.
Factor said: Omeongea kitu ambacho wengi hawatakikubali kwa kile kinachoitwa ushabiki kindakindaki Click to expand... Hata wasipokubali wataelewa. Hili liko Wazi wala siyo ushabiki. Serikali au taasisi haiwezi kufanya kitu bila dokezo. Dokezo linandikwa baada ya barua ya mwombaji.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Apr 2, 2024 #23 Watulie bana serikali haiwezi lipia watu pesa ili wakaangalie pyramids za kina farao.....waende kwa hela zao
Watulie bana serikali haiwezi lipia watu pesa ili wakaangalie pyramids za kina farao.....waende kwa hela zao
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Apr 2, 2024 #24 MSoGa=GSM Ni hayo tu