Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

Kama CAF wameamua hivyo SIMBA ingefanyaje. Suala Ni kuepuka kupanga matokeo kwa sababu yeyote kwenye kundi anaweza kufuzu robo fainali
 
Wewe ni kiazi Tena mbatata
 
Utopolo muwasindikize wageni hawapajui airport wale.
 
NNjoo
Njoo usome tena upupu wako
 
Aibu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…