Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

We kweli ni mcha- mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo mlisubiri hadi Simba SC ipate Matokeo ya Ushindi ndiyo mje kuanza Kujitutumua Kunishambulia na Kunizodoa hivi?

Mhona nikiwa nachambua vyema Mechi za Simba SC za katika Ligi Kuu na hata hizi za Kimataifa na nikiwa napatia kwa Matokeo Wapumbavu, Waswahili na Wanafiki wakubwa nyie ( wakiongozwa ) nawe huwa hamji Kunipongeza?

Na katika huu Uzi nilisema wazi kuwa Simba SC ikishinda nitafurahi pia na hata kama nilikuwa na Mashaka nayo hii Mechi kwa Mchambuzi au Mru wa Mpira ni Jambo la Kawaida mno ila Kwenu ambao mna Husuda na Umaarufu wangu GENTAMYCINE na mnanichukia hapa sasa ndiyo mmeona sehemu ya Kunishambulia na hata Kunidhihaki pia.

Haya kuna Uzi mwingine nimeuanzisha hivi punde tu nikisema ( tena kwa Kujiamini ) kabisa kuwa kwa Mpira'mbovu'wa Simba SC ile Jana na kwa Kikosi chetu Kibovu hasa Kiushindani Safari yetu imeishia hapa Robo Fainali ya CAFCC ila hatutoboa ( hatutofuzu ) Nusu Fainali hata turoge vipi au tufanye Umafia upi na Maandalizi gani kutokana na Ubora wa Mmoja wa Wapinzani wetu ambao tunaenda Kukutana nao.

Hamnivunji Moyo, ila nawaona Majuha.
 
Imebidi nicheke sana tu!!
Haya bana, kwanza kabisa polee...

Pili, sijui kabisa kuwa wewe ni maarufu. Japo umeliweka kitoto sana hili.

Mie nimekuunganishia tu baada ya kukuona umcha -mbuzi kabisa![emoji3]
 
Na bado. Kile kizee kilichokua kinapiga wachezaji wa usgn tochi, picha yake nayo sasa iko caf. Mkipita hili mkatambike

Duh! Kama kweli walifanya makosa wataadhibiwa kwa kulipa fine sio kufutiwa matokeo. Halafu zile tochi za mzee hazifiki mbali. Shida Ni zile latern torch.
 
Mhona nikiwa nachambua vyema Mechi za Simba SC za katika Ligi Kuu na hata hizi za Kimataifa na nikiwa napatia kwa Matokeo Wapumbavu, Waswahili na Wanafiki wakubwa nyie ( wakiongozwa ) nawe huwa hamji Kunipongeza?
Hujawahi kuchambua vyema, na hakuna ulichowahi kuchambua kikaendana na uhalisi. Mechi imechezwa usiku, ngozi ya mamba haujaletewa na ushindi mnono umepatikana. Soka ni mchezo unaopigwa hadharani, kila anayefanya juhudi ya kuuona atauona tu!
 
Na bado. Kile kizee kilichokua kinapiga wachezaji wa usgn tochi, picha yake nayo sasa iko caf. Mkipita hili mkatambike
Umetoka kwenye unabii wa matokeo ya mechi, sasa upo kwenye unabii wa mashabiki. Kesho saa saba droo inapangwa kwa ajili ya knock out stage, wekeza unabii huko walau utaambulia sadaka
 
Back
Top Bottom