Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

Umepotea,kilichotokea pale tofauti na ulichoandika...by the way sikulaumu coz 80% ya watu walioona lile tukio wanadhani ishu ilikuwa ni km wewe ulivyosndika
 
Wewe kenge kabla sijakujua vizuri nilikuwa shabiki wako mkuu unfortunately kadri siku zinavyosogea nakudharau kila uchwao maana unaandikaga mimavi mnoo sijui kwanini hubadiriki aisee

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika upuuzi sana.Hujielewi
Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira...
 
Umepotea,kilichotokea pale tofauti na ulichoandika...by the way sikulaumu coz 80% ya watu walioona lile tukio wanadhani ishu ilikuwa ni km wewe ulivyosndika
Level yako ya Kubishana na Mimi hasa katika Mpira wa Bongo na Kuujua pia ndani nje ni mdogo mno.

Una habari kuwa tokea Beki Pascal Wawa alipocheza vibaya Mechi tatu zilizopita na Magoli kupitia Kwake kwa kushindwa Kuruka Kocha alimsema sana Kambini ila Pascal Wawa akamjibu hovyo kwa Dharau na kuanza Kuonyesha Nidhamu mbovu?

Unajua kwanini jana Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu walitaka Beki Pascal Wawa aingie Kilazima vile wakati Kocha Pablo hakutaka?

Kwa taarifa yako tu sasa tunaowajua akina Matola na Rweymamu ( tokea wakiwa na Kikosi cha Simba B ) ni Watu wa Kutengeneza Mitandao ya Wachezaji ambao watakuwa wanapangwa kisha wao wanapata 10% Commission kutoka katika Posho au Mishahara yao.

Na upuuzi huu hauko tu kwa hawa bali hata kwa Makocha Mkwasa, Julio na Minziro nao wana mambo haya haya ulizia Watu wa Mpira watakuambia.

Tayari Kocha hamtaki Beki Pascal Wawa na walichotaka kukifanya Jana Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu ni Kumuingiza Mtu ( Mshkaji ) wao huyo ili 'akiwashe' kwa dakika zile chache kusudi aonyeshe Kiwango na wapate sababu ya Kumtetea asiachwe.

Halafu waendelee 'Kutanua' nae kwenye Masinagogi ( Starehe ) Juliana na Beach Kidimbwi Mbezi Beach huku akiendelea kuwa anawapa 'Ofa' za Bia mara kwa mara ambao sasa ndiyo umekuwa Ugonjwa ( Udhaifu ) wa Kocha Msaidizi Matola baada ya Kustaafu Kuvuta Bangi alipokuwa Mchezaji akiwa na 'Washkaji 'zake Kiungo Fundi wa Kimasai Patrick Betwell Buba na Beki Boniface Pawassa.

Matola na Rweymamu watolewe upesi.
 
  • Thanks
Reactions: mmh


ona mjinga mwingine huyu. kocha ndiye aliyemnyanyua Wawa. Halafu lawama wapewe Matola. sometimes Ficha upumbavu mkuu kwa kuweka akiba ya manenoo
 
niliskia izo ishu,hata Gomes naskia alihusika kumkingia kifua Wawa asiachwe dirisha lililopita sababu alihaidiwa percent fulani lkn siamini hizo mambo km bado zipo kwa pale ilipofikia Simba na km bado zipo basi lile tukio ni aibu ya funga mwaka
GENTAMYCINE huwa sisemi Jambo nisilo na uhakika nalo na ninajiamini katika hilo tena 100% kwani humo ndani ya hivi Vilabu vikubwa Vikongwe na Vikubwa nchini nina Wanangu ( Marafiki ) tena Wachezaji wenyewe mpaka na Viongozi Waandamizi, ila tatizo Kubwa ni kwamba Wote hao ninapokuwa nao Kimaongezi huwa hawajui kuwa ni Mimi na huwa nakuwa makini ili wasinijue ila walipo nipo na napata Taarifa nyingi na za ndani mara kwa mara.
 
Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja...
Mkuu sikubaliani na wazo la kuachwa Matoka. Tuwe na tabia za kuthamini watanzania wenzentu wanapopata fursa hizi. Pia, tuwape moyo na kuwajengea uwezo kwa wataalamu wanje wanaokuja nchini.

Nyumbani Ni nyumbani kaka, ndugu ni ndugu kaka.

Mwisho wa thamani yako anao nduguyako. Udugu hauishi hadi umauti
 
Hivi kwa ile 'Body Language' ya Kocha Mkuu Pablo, Mchezaji Wawa, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu kinasadifu haya Maelezo yako ya Kubahatisha?

Nilichokiandika nimekimaanisha 100%.
kocha ameshatolea ufafanuzi , mambo ya body language ni hisia zako za kipimbi
 
Back
Top Bottom