Umepotea,kilichotokea pale tofauti na ulichoandika...by the way sikulaumu coz 80% ya watu walioona lile tukio wanadhani ishu ilikuwa ni km wewe ulivyosndika
Level yako ya Kubishana na Mimi hasa katika Mpira wa Bongo na Kuujua pia ndani nje ni mdogo mno.
Una habari kuwa tokea Beki Pascal Wawa alipocheza vibaya Mechi tatu zilizopita na Magoli kupitia Kwake kwa kushindwa Kuruka Kocha alimsema sana Kambini ila Pascal Wawa akamjibu hovyo kwa Dharau na kuanza Kuonyesha Nidhamu mbovu?
Unajua kwanini jana Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu walitaka Beki Pascal Wawa aingie Kilazima vile wakati Kocha Pablo hakutaka?
Kwa taarifa yako tu sasa tunaowajua akina Matola na Rweymamu ( tokea wakiwa na Kikosi cha Simba B ) ni Watu wa Kutengeneza Mitandao ya Wachezaji ambao watakuwa wanapangwa kisha wao wanapata 10% Commission kutoka katika Posho au Mishahara yao.
Na upuuzi huu hauko tu kwa hawa bali hata kwa Makocha Mkwasa, Julio na Minziro nao wana mambo haya haya ulizia Watu wa Mpira watakuambia.
Tayari Kocha hamtaki Beki Pascal Wawa na walichotaka kukifanya Jana Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu ni Kumuingiza Mtu ( Mshkaji ) wao huyo ili 'akiwashe' kwa dakika zile chache kusudi aonyeshe Kiwango na wapate sababu ya Kumtetea asiachwe.
Halafu waendelee 'Kutanua' nae kwenye Masinagogi ( Starehe ) Juliana na Beach Kidimbwi Mbezi Beach huku akiendelea kuwa anawapa 'Ofa' za Bia mara kwa mara ambao sasa ndiyo umekuwa Ugonjwa ( Udhaifu ) wa Kocha Msaidizi Matola baada ya Kustaafu Kuvuta Bangi alipokuwa Mchezaji akiwa na 'Washkaji 'zake Kiungo Fundi wa Kimasai Patrick Betwell Buba na Beki Boniface Pawassa.
Matola na Rweymamu watolewe upesi.