Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).

Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka Kuwa Wapo kwenye Uwanja Wa kivita tena vita ngumu ya Kupata alama tatu na kutetea timu isishuke daraja.

Simba SC dhid ya Dodoma Kipindi Cha kwanza Simba SC wanaongoza goli tatu kwa mtungi na ukiwatazama Dodoma jiji wanavyocheza utadhani hawakuawa na maandalizi kabisa hiyo Yote ni kutokana na Benchi la Ufundi lililo dhaifu badala ya kufanya maandalizi linafanya utani (kiuleta utani kwenye Uwanja Wa kivita) hii siyo nzuri kabisa na inaleta picha mbaya kwa makocha wazawa na kuonekana hawapo serious kabisa na ndiyo Maana hawaaminiki kabisa katika ligi yetu hii (NBCPL).

Maoni yangu: Endapo uongozi hautofanya maamuzi ya kiume kwa kocha Wa Dodoma jiji na benchi lake la Ufundi basi tutegemee kuwaona Dodoma jiji wakicheza playoff au kushuka daraja kabisa.
 
Dodoma Jiji timu ya Kijinga sana, Hicho kiporo cha kujisingizia ajali kimekuwa na msaada gani kwao? WAJINGA SANA
 
Kocha la hovyo hilo,sijui leo litajifichia wapi kwani mara nyingi likifungwa na Simba linalalamika Simba inabebwa,akifungwa na Yanga anachekelea na anafikia wakati anaipongeza kabisa Yanga kuwa wamecheza vizuri sana.

Leo limeyakanyaga kmmqe
 
Mbona tuliambiwa kua kocha ni mtaalam mkubwa wa mbinu za mpira...
 
Kocha la hovyo hilo,sijui leo litajifichia wapi kwani mara nyingi likifungwa na Simba linalalamika Simba inabebwa,akifungwa na Yanga anachekelea na anafikia wakati anaipongeza kabisa Yanga kuwa wamecheza vizuri sana.

Leo limeyakanyaga kmmqe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dodoma jiji tawi la yanga,natanani washuke daraja
 
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).

Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka Kuwa Wapo kwenye Uwanja Wa kivita tena vita ngumu ya Kupata alama tatu na kutetea timu isishuke daraja.

Simba SC dhid ya Dodoma Kipindi Cha kwanza Simba SC wanaongoza goli tatu kwa mtungi na ukiwatazama Dodoma jiji wanavyocheza utadhani hawakuawa na maandalizi kabisa hiyo Yote ni kutokana na Benchi la Ufundi lililo dhaifu badala ya kufanya maandalizi linafanya utani (kiuleta utani kwenye Uwanja Wa kivita) hii siyo nzuri kabisa na inaleta picha mbaya kwa makocha wazawa na kuonekana hawapo serious kabisa na ndiyo Maana hawaaminiki kabisa katika ligi yetu hii (NBCPL).

Maoni yangu: Endapo uongozi hautofanya maamuzi ya kiume kwa kocha Wa Dodoma jiji na benchi lake la Ufundi basi tutegemee kuwaona Dodoma jiji wakicheza playoff au kushuka daraja kabisa.
Hii mechi ingekuwa ni dhidi ya Yanga, mpaka muda huu kelele zingekuwa ni nchi nzima! Ila kwa sababu wameshinda wao, huwezi kusikia habari za match fixing, wala bahasha!
 
Hawa madogo wametuangusha. Ni team yetu sisi.leo wamecheza hovyo sana
 
Kocha la hovyo hilo,sijui leo litajifichia wapi kwani mara nyingi likifungwa na Simba linalalamika Simba inabebwa,akifungwa na Yanga anachekelea na anafikia wakati anaipongeza kabisa Yanga kuwa wamecheza vizuri sana.

Leo limeyakanyaga kmmqe
😆😆😆😆😆😆
 
Simba walifanya mazoezi siku moja kabla ya mechi
 
Back
Top Bottom