NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).
Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka Kuwa Wapo kwenye Uwanja Wa kivita tena vita ngumu ya Kupata alama tatu na kutetea timu isishuke daraja.
Simba SC dhid ya Dodoma Kipindi Cha kwanza Simba SC wanaongoza goli tatu kwa mtungi na ukiwatazama Dodoma jiji wanavyocheza utadhani hawakuawa na maandalizi kabisa hiyo Yote ni kutokana na Benchi la Ufundi lililo dhaifu badala ya kufanya maandalizi linafanya utani (kiuleta utani kwenye Uwanja Wa kivita) hii siyo nzuri kabisa na inaleta picha mbaya kwa makocha wazawa na kuonekana hawapo serious kabisa na ndiyo Maana hawaaminiki kabisa katika ligi yetu hii (NBCPL).
Maoni yangu: Endapo uongozi hautofanya maamuzi ya kiume kwa kocha Wa Dodoma jiji na benchi lake la Ufundi basi tutegemee kuwaona Dodoma jiji wakicheza playoff au kushuka daraja kabisa.