mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Bora wewe umeongea madin lakin wenzio hawana points kabisa.Hapa viongozi wamechemka na ndio tatizo kubwa la Yanga ni viongozi kukosa maono na kusimama katika kile walichokiamini. Tangu michuano ya mapinduzi inaanza unaona kabisa uongozi haeakuwa serious nayo. Wakawapa mapumziko wachezaji kadhaa pamoja na kocha mkuu. Tofauti na timu zingine ambazo zilienda na kikosi kamili pamoja na makocha wao wakuu. Uongozi walipaswa kuendelea vile vile katika kile walichokiamini kuliko ghafla tu mnafuzu unaanza kuchukua wachezaji mtaani jumapili waangie Zanzibar wafanye mazoezi siku moja tu halafu utegemee wakupe kitu wakati mpira unshitaji fitness hata kama ni wachezaji ni bora kiasi gani. Haya mambo ndio yaliyosababisha mpaka kutolewa klabu bingwa kwa kushadadia wiki ya mwananchi badala ya kuandaa timu
Mpira Ni usiliaz hakuna kingine ,watu wanapewa likizo kwa kigezo kipi? Iigi mbichi hii unaanza kuwapa wachezaj likizo hai make sense kabisa walipaswa waondoke wale waliokuwa na ulazima wa kuondoka Kama diara ,mukoko na Djuma wengine wangebak jumrisha na Nabi kidogo yanga wangekuwa fit .
Hii kasumba hata Simba walikua nayo ,mwaka Jana wakawapa mapumziko akina chama nadhan unakumbuka nn kilitokea so from there wakajifunza kitu.