Uongozi wa Yanga umekaa kishamba sana

Bora wewe umeongea madin lakin wenzio hawana points kabisa.
Mpira Ni usiliaz hakuna kingine ,watu wanapewa likizo kwa kigezo kipi? Iigi mbichi hii unaanza kuwapa wachezaj likizo hai make sense kabisa walipaswa waondoke wale waliokuwa na ulazima wa kuondoka Kama diara ,mukoko na Djuma wengine wangebak jumrisha na Nabi kidogo yanga wangekuwa fit .
Hii kasumba hata Simba walikua nayo ,mwaka Jana wakawapa mapumziko akina chama nadhan unakumbuka nn kilitokea so from there wakajifunza kitu.
 
Simba walifika fainali
 
Seriousness haipo sana na nikama baadhi ya wachezaji wanaabudiwa kupita kiasi
Sana niliona kocha akaona amweke benchi ambundo aliekaa na timu zanzibar na mwenye assist mbili ilimradi saido aanze
 
Umemaliza kila kitu mkuu na kama kuna wachezaji wanajiona wakubwa kuliko wenzao pia kocha msaidizi aache ujinga fulani wa kumpendelea yule kijana alietoka hispania
 
Unamtoa msheri unaweka shati kwenye kamba hao ndo utopolo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tulieni muongozwe kwenye ligi kwa kuwa mbinu yenu Makolo ya KUHONGA MAREFA imezibwa, na bado mtaongozwa sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yenu Mazuzu/Utopolo Ni furaha isiyodumu.

Bado mechi kadhaa/chache Simba aanze kuongoza ligi na muda mfupi achukue mara ya tano.

Timing! Subiri mtaona akili kubwa ya viongozi wa Simba.

Simba bingwa NBC 2021/2022
 
Na kikombe chao tunakibeba mwaka huu wataishia lile la ngao ya hisani.

hatuachi kitu mwaka huu, mtalalamika sana kwa kocha sijui kuwapa likizo sijui nn ila ukweli mtahonga sana mwaka huu
Mara mmesahau majuzi tu nyie mmeshangilia draw...
 
hii ndio yanga niijuayo mimi
 
Viongozi wa yanga ni washenzi na manyang'au kabisa. Unawapa likizo wachezaji ocha alafu hapohapo unatuambia et tunabeba vikombe vyote. Pumbaf, Yanga kweli ni utopolo. Ajinga sana hawa. Wameniudhi sana.

Kuna huyu jamaa wa Uganda 🇺🇬 anaabudiwa sana pale Yanga.

Siku tunacheza na Namungo alikua anaonekana akila bata huku tunaambiwa et anaumwa mpaka tetesi za kujiunga makoloni zikaenea.

Viongozi wa Yanga ni washenzi na uneducated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…