Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

Kama zimo kweli wamkatae Manara ambaye ni Simba tena wa kuitukana Yanga matusi ya nguoni
Manara has come to Young Africans as an asset.

Manara amepokelewa Yanga kama Lowassa alivyo pokelewa Chadema
 
Manara is an asset. Ujio wa Manara Yanga hauna tofauti na ujio wa Zamoyoni Mogella Yanga.

Huwezi kulinganisha na huyo somebody Priva
Zeruzeru kawekwa hapo na swahiba wake Ghalib. Ikitokea GSM akitoka Yanga Haji anaondoka saa nne asubuhi na kejeli kibao kwa Utopolo.
 
Manara has come to Young Africans as an asset..

Manara ame hasi Simba.

Amepokelewa Yanga kama Lowassa alivyo pokelewa Chadema
🤣🤣🤣 Pole sana. Manara Kaja kwetu baada ya kufukuzwa Simba na kukataliwa na Azam. Watu wametoa taka/kinyesi kuweka chooni sisi tumechukua na kuweka Sebuleni. Ule ni wendawazimu wa hali ya juu. Mapenzi ya Team hayaamwi uliza Dunia nzima. Ni hasira tu unaweza anza shabikia Liverpool lakini ndani unabaki Arsenal. Usidanganyike hata siku moja.

Pia si Ku HASI. neno sahihi ni KuASI. Mwache Privadinho afanye kazi msilete habari zenu za ud.... Kwenye mpira. Acha dogo ana Elimu akafanye kazi. Hatutaki kufanya kazi kichawa
 
Manara has come to Young Africans as an asset.

Manara amepokelewa Yanga kama Lowassa alivyo pokelewa Chadema
Halafu baadaye akarudi CCM nyumbani kwake. Na kwa Sope itakuwa hivyo hivyo. Hakuna mtu anaanza ushabiki Simba na Yanga akiwa na miaka 40+.
 
Manara has come to Young Africans as an asset..

Manara ame hasi Simba.

Amepokelewa Yanga kama Lowassa alivyo pokelewa Chadema
Wewe ni Yanga mwenzangu but very hopeless. Manara ni takataka ndo maana tulijitahidi hadi kumpeleka kwa wazee kumsafisha na kumsomea kisomo. Sababu haaminiki. Hawezi fanya kazi na watu wenye akili. Manara anawafaa ambao hawana Elimu,Uelewa ,Hekima na Busara. Sasa Yanga hatutaki iendeshwe kichawi chawi, kiswahili na kiuchawa
 
Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka.

Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva kupewa nafasi hiyo Yanga kwa sababu gestures zake zina demonstrate Usimba wake.

So katika hilo kwa wanayanga haki haionekani kutendeka.

Suala la Privadinho kupewa nafasi ya uongozi Yanga halijawapendeza wana Yanga wengi.

Mashabiki wa Yanga bado wanaamini kwamba Privadinho ni mshabiki wa Simba.

Ni tusi kubwa sana kwa wana Yanga kumpa nafasi shabiki wa Simba katika eneo ambalo wapo wanachama wapenzi na mashabiki wa Yanga wenye sifa ambao Uyanga wao hauna ukakasi.

Kwako Eng. Hersi Said, please lifanyie kazi, suala la Priva lime wanyong'onyesha wana Yanga wengi sana.
Basi na wewe ujitahidi kidogo kuwa na hekima hata ya kuazima. Kuna chuki ya wazi dhidi ya member mmoja humu maarufu.Akileta uzi wake wewe ni chuki tu.
 
Mbona Manara ni Simba tena aliwacharura kwelikweli na mnamchekelea leo. Kuna tatizo gani kwa Priva hata kama ni Simba kufanya kazi kwenu? Acheni ubaguzi au kisa yeye si mropokaji kama Haji?
Toka lini Manara akawa Simba? Hata kadi alikuwa hana ya Simba. Kadi ya uanachama aliyo nayo ni ya Yanga tu.

Kama vp Simba wekeni hadharani kadi ya Manara?
 
Swala sio Manara kuwa shabiki wa Simba au Yanga, hapa hoja ni kukubalika kwa Privaldinho miongoni mwa mashabiki. Kama Manara alikubalika basi nivyeye, na kama huyu wa sasa amekataliwa huwezi kumhalalisha kwa sababu ya kukubalika kwa Haji.
Hoja dhaifu kabisa hii, hata Haji hakukubalika hapo awali na baadhi ya wanazi ila hayo yalipita, hata Priva naye hayo ya kutokubalika na 'baadhi' yataisha tu.
 
Hoja dhaifu kabisa hii, hata Haji hakukubalika hapo awali na baadhi ya wanazi ila hayo yalipita, hata Priva naye hayo ya kutokubalika na 'baadhi' yataisha tu.
Angalia percentage ndio uamue. Haji alichukuliwa kama pigo kuu kwa Simba, huyu wa sasa hana impact yoyote upande wa pili, hivyo kutokubalika mno
 
Haji huyu huyu msukule uliofungishwa virago Simba au Haji gani huyo?
 
Toka lini Manara akawa Simba? Hata kadi alikuwa hana ya Simba. Kadi ya uanachama aliyo nayo ni ya Yanga tu.

Kama vp Simba wekeni hadharani kadi ya Manara?
Yaani kadi ni ya Manara sasa Simba wanaiweka vipi?
 
Back
Top Bottom