enhe na habari ya mjini ndiyo ipi?
............:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:........
Hello room
Whaaaaaat Madame B...........................?
Mkuu jana list ilitimia, maana walikuwepo gfsonwin, amu, Asprin, Nammeta, monaco, Kipaji Halisi, Paloma, Jeska, Dr. Welelo, ladyfurahia Madame B, Bujibuji, wageni waalikwa walikuwa ni warembo wafuatao, Maya, Nurah, Edwardina, Angel na mzee Mtambuzi mwenyewe niliwakilisha...
Mkuu nakunong'oneza pole pole wanaume hatutupani, katika hao walio na bold, unaweza kunitafutiapo ka spring chicken ka kunitoa uzee? au nimcontract Madame B?
CC:...........
Mie Ben Saanane keshanipa Limbwata hivoooooooo.
Akha, mie sijaongea chochote Michael Scofield..:A S kiss:
CC:...........
Mie Ben Saanane keshanipa Limbwata hivoooooooo.
Hapo ............ Madame B ndio nini hebu niitie Mtambuzi bana.....au ning'ate kabisa sikio we si unajua tena....halafu Ben Saanane ni mdogo wangu mpeleke taratibu....
Mkuu jana list ilitimia, maana walikuwepo gfsonwin, amu, Asprin, Nammeta, monaco, Kipaji Halisi, Paloma, Jeska, Dr. Welelo, ladyfurahia Madame B, Bujibuji, wageni waalikwa walikuwa ni warembo wafuatao, Maya, Nurah, Edwardina, Angel na mzee Mtambuzi mwenyewe niliwakilisha...
IDs nyingi hapa ni ngeni machoni mwangu...hongereni kwa kuwavutia wageni wengi zaidi...
Mpwa inawezekana ID ngeni lakini watu sio wageni...au?
Our ex labda Mamndenyi anajua kinachomsibu! Mwenzako mie kimekatikia!
There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests)
Mwita Maranya nakusalimu igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee