cc. mwaJ
rafiki, hapa mimi mbona sijaona kipapatio?Natamani hivi vipapatio hapa
rafiki, hapa mimi mbona sijaona kipapatio?
ila hiyo brown imekolea si mchezo......inanifanya nikumbuke sehemu
na hapo umefanikiwa.... maana rafiki yangu mwaJ anavyojidaigi na huyu mtu!
Naogopa magamba wa pale Bar ya jirani watamteka.........
Wiki ijayo huenda nikamshawishi ili aje.
CC: Mwita Maranya.
Afu wewe ladyfurahia? sijui nilitaka kusema nini mara hii nimesha sahau ghafla...
Anyway nimeyapenda sana haya maneno, ukipenda kuniuliza kwanini, usiniulize. "Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)"
yaani wewe acha tu....Mi nimeona tu kama ni mkusanyiko wa vipapatio,
kwa hii blue Monday ni lazima ukumbuke sehemu;
nitafutie Mtambuzi umwambie nimetamani hiyo plate
hapo juu
pengine atatoa ushauri.
mi nilikuwa nampa taarifa tu.....Afu we Fixed Point ni lini umeianza hii tabia?