Upande upi Unaokusikitisha zaidi wewe, kati ya ICC na Trump, et al.; au Hawa Wenzetu?

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi.

Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni.

Watu hawa ni kama hawaamini kuwa kazi hii ni kazi yetu wenyewe kuitimiza. Tunachoweza kuwaomba msaada hao watu wa nje ni kutusaidia tu kinga dhidi ya hawa waovu wanaotumia mitutu ya bunduki ili waendelee kubaki madarakani kwa mabavu

Kinga hii tunayoomba inaweza kuwa katika njia mbalimbali; kama kutumia vyombo vyao vya habari kutangaza maovu yanayofanyika hapa kwa uwazi; kumulika uovu unaofanyika gizani ili uonekane dunia nzima, na hata nyenzo nyingi nyingine za kuwakabili hawa watawala.
Kazi ya kupambania nchi, ni yetu sisi wenyewe. Tusiwategemee ICC kuja kumchukua Samia ndipo tupate nafuu.

Kundi la upande mwingine ni hili la washiriki aktika uovu.
Watu wanateuliwa kuwa washauri, ili watetee uovu na kuufanya uonekane kuwa sawa! Unateuliwa kushauri nini katika maovu?

Wanaoteuliwa kwenye nafasi mbalimbali za utendaji serikalini, maana yake ni kuwa sehemu ya kutimiza uovu kwa waTanzania moja kwa moja.

Maana ya kukubali kuwa mshiriki ni kwamba hutaki mapadiliko

Kama wewe ni mTanzania unayeona nchi yetu haiendi sawasawa, kwa nini uwalalamikie na kuwahimiza akina ICC, Trump, et., al., waje hapa kuondoa uovu; na wakati huo huo unashindwa kulaani waTanzania wenzako wanaoteuliwa kuingia kwenye serikali haramu ili waendeleze uovu?

Maoni yangu ni kuwa tungezidisha malalamiko kwa hawa wateuliwa wenzetu, huku tukionyesha wazi juhudi zetu za kukataa ukandamizaji wanaotufanyia.

Tuwaeleze waziwazi hao watu toka nje, kwamba tunahitaji kuungwa mkono katika juhudi zetu tunazofanya wenyewe kuwashughulikia hawa waovu wetu.

Tutajikomboa wenyewe. Hii ni kazi yetu, siyo kazi ya kuwategemea watu toka nje ya nchi..

Kama ICC wanaweza kumchukuwa Samia; bado tutakuwa tunayo kazi ya kushughulikia hao anaowateua kushika madaraka katika ngazi mbalimbali.
 
TOKA MAKTABA:

Julai 22, 2016

Waziri Dr. Augustine Mahiga mwanadiplomasia mbobevu nguli kimataifa azungumzia Nchi za Afrika kujitoa ICC

View: https://m.youtube.com/watch?v=pTOfK7h_bOg

Tanzania haitajiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake makuu The Hague Uholanzi, hata kama imeibua wasiwasi kuhusu masuala kadhaa kama vile ' kuonekana kuandamwa ' zaidi Waafrika, ambayo yanahitaji kutatuliwa.

Msimamo huo ulitolewa jana na Waziri wa Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga, alipokuwa akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Tanzania will not pull out of the Hague-based International Criminal Court (ICC) much as it has raised concerns on a number of issues such as 'perceived persecution' against Africans, which need to be sorted out.

The position was made yesterday by the Minister of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation, Dr Augustine Mahiga, while responding to questions from journalists at a news conference in Dar es Salaam.
 
Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi.

Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni.

Watu hawa ni kama hawaamini kuwa kazi hii ni kazi yetu wenyewe kuitimiza. Tunachoweza kuwaomba msaada hao watu wa nje ni kutusaidia tu kinga dhidi ya hawa waovu wanaotumia mitutu ya bunduki ili waendelee kubaki madarakani kwa mabavu

Kinga hii tunayoomba inaweza kuwa katika njia mbalimbali; kama kutumia vyombo vyao vya habari kutangaza maovu yanayofanyika hapa kwa uwazi; kumulika uovu unaofanyika gizani ili uonekane dunia nzima, na hata nyenzo nyingi nyingine za kuwakabili hawa watawala.
Kazi ya kupambania nchi, ni yetu sisi wenyewe. Tusiwategemee ICC kuja kumchukua Samia ndipo tupate nafuu.

Kundi la upande mwingine ni hili la washiriki aktika uovu.
Watu wanateuliwa kuwa washauri, ili watetee uovu na kuufanya uonekane kuwa sawa! Unateuliwa kushauri nini katika maovu?

Wanaoteuliwa kwenye nafasi mbalimbali za utendaji serikalini, maana yake ni kuwa sehemu ya kutimiza uovu kwa waTanzania moja kwa moja.

Maana ya kukubali kuwa mshiriki ni kwamba hutaki mapadiliko

Kama wewe ni mTanzania unayeona nchi yetu haiendi sawasawa, kwa nini uwalalamikie na kuwahimiza akina ICC, Trump, et., al., waje hapa kuondoa uovu; na wakati huo huo unashindwa kulaani waTanzania wenzako wanaoteuliwa kuingia kwenye serikali haramu ili waendeleze uovu?

Maoni yangu ni kuwa tungezidisha malalamiko kwa hawa wateuliwa wenzetu, huku tukionyesha wazi juhudi zetu za kukataa ukandamizaji wanaotufanyia.

Tuwaeleze waziwazi hao watu toka nje, kwamba tunahitaji kuungwa mkono katika juhudi zetu tunazofanya wenyewe kuwashughulikia hawa waovu wetu.

Tutajikomboa wenyewe. Hii ni kazi yetu, siyo kazi ya kuwategemea watu toka nje ya nchi..

Kama ICC wanaweza kumchukuwa Samia; bado tutakuwa tunayo kazi ya kushughulikia hao anaowateua kushika madaraka katika ngazi mbalimbali.
Huwezi kujikomboa katika mazingira ambayo INTERNET inazimwa, mnabaki GIZANI halafu mnaanza kupigwa RISASI za VITA wakati nyie hamna hata WEMBE.

Huwezi kupambana na UTAWALA wa KIGAIDI kwa MAJI na MABANGO, GIZANI.
 
TOKA MAKTABA:

Julai 22, 2016

Waziri Dr. Augustine Mahiga mwanadiplomasia mbobevu nguli kimataifa azungumzia Nchi za Afrika kujitoa ICC

Walio na hatia wanaogopa 2026 kwenda ICC The Hague
 
Mnataka Trump aje amchukue Samia mkisahau kwa madai ya uongozi usiojali haki za wananchi mnasahau kwamba huyo Trump pia kavunja sheria za kimataifa kwa kuingia kwenye nchi nyingine huru na kumbeba rais.

Mnataka rais wa USA asiyethamini haki za wengine aje awasaidie kumtoa Rais ambaye mnadhani anawanyima haki zenu!.

Samaki mkubwa humla samaki mdogo, huo siku zote huwa utaratibu wa kimaisha.
 
Kama ICC wanaweza kumchukuwa Samia; bado tutakuwa tunayo kazi ya kushughulikia hao anaowateua kushika madaraka katika ngazi mbalimbali 📌🔨
 
Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi.

Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni.
Mmeanza kutia akili eeeh
Maana kuna wajinga humu walikuwa mpaka wanaomba NATO ije
Sasa wameona Maduro kaliwa kichwa wakaanza kupandisha midadi eti Trump atakuja shithole kantre yao kuwasaidia kumtoa Samia kwa kuwa ni muislamu.
Huko ICC wataisikia kwenye Insta na X kwenye upupu unaoongelewa humo utadhani ICC wanauwezo wa kuja kumkamata Samia, wakati walimshindwa Bashir, na walivyomtaka Netanyau huyuhuyo US kamkingia kifua kwa kusema ICC ni circus show
 
Huwezi kujikomboa katika mazingira ambayo INTERNET inazimwa, mnabaki GIZANI halafu mnaanza kupigwa RISASI za VITA wakati nyie hamna hata WEMBE.

Huwezi kupambana na UTAWALA wa KIGAIDI kwa MAJI na MABANGO, GIZANI.
Ni dhahiri kabisa hujaelewa ninachokizungumzia mimi. Sisemi popote mTanzania yeyote akajitupe mbele ya mitutu ya bunduki.Nisome unielewe vizuri.
Kama una swali uliza, lakini usiniwekee maneno au maana ambayo sikuilenga katika maoni yangu.
 
Mnataka Trump aje amchukue Samia mkisahau kwa madai ya uongozi usiojali haki za wananchi mnasahau kwamba huyo Trump pia kavunja sheria za kimataifa kwa kuingia kwenye nchi nyingine huru na kumbeba rais.

Mnataka rais wa USA asiyethamini haki za wengine aje awasaidie kumtoa Rais ambaye mnadhani anawanyima haki zenu!.

Samaki mkubwa humla samaki mdogo, huo siku zote huwa utaratibu wa kimaisha.
Wewe wakati huu unaweweseka tu, huna lolote unalolisoma na kulielewa.
Maelezo kwenye hiyo mada yamebainisha juu ya hicho unachokizungmzia hapa wewe?

Unajuwa kusoma na kuelewa ulichosoma?
 
Unaililia ICC ichukue hatua wakati ICC ilipotaka kuchukua hatua dhidi ya NETANYAHU watu kibao humu walishangilia jinsi Israeli alivyokingiwa kifua na US.
Unategemea msaada wa demokrasia nchini mwako kutoka kwa nchi ambayo ndani ya miaka 26 iliyopita India watu zaidi ya laki 4 dunia kwa mabomu .
Unalilia demokrasia kutoka US wakati US hapo kwao Demokrasia hakuna. Ona kinachofanywa na maafisa uhamiaji, polisi, na National Guard huko kwao. Watu wanaumizwa, wanadhalilishwa na kuuawa bila hatia.
Unalilia demokrasia wakati kila siku unachekelea uvunjaji wa demokrasia na sovereignty ya nchi zingine unaofanywa na Marekani.
Lazima ujiulize mara 7 kama una akili sawasawa.
Anyway mijizi na vibaka haitaachiwa popote nafasi ya kuendelea kuiba. Mijitu hii dawa Yao inajulikana.
 
Ni vizuri umejitambulisha mwenyewe hapa; maanake nilipokuwa nakusoma huko juu nilikuwa nakushangaa sana wewe ni mtu wa aina gani.
Maana yote uliyoandika huko ni kinyume kabisa na mada yenyewe inavyoeleza.

Nyinyi watu wa mlengo huo, jueni tu kwamba mtu wenu Samia Suluhu Hassan hana nafasi tena. Haponi. Anasubiri tu hatma yake itimie.
 
Mmeanza kutia akili eeeh
Maana kuna wajinga humu walikuwa mpaka wanaomba NATO ije
Sasa wameona Maduro kaliwa kichwa wakaanza kupandisha midadi eti Trump atakuja shithole kantre yao kuwasaidia kumtoa Samia kwa kuwa ni muislamu.
Huko ICC wataisikia kwenye Insta na X kwenye upupu unaoongelewa humo utadhani ICC wanauwezo wa kuja kumkamata Samia, wakati walimshindwa Bashir, na walivyomtaka Netanyau huyuhuyo US kamkingia kifua kwa kusema ICC ni circus show
ICC waendelee na mipango yao, sisi tutaendelea na mipango yetu.

Wakimtaka Samia Suluhu Hassan, hata kama hawamkamati, hiyo ni nafuu ya kutosha kwa juhudi zetu wenyewe kumwajibisha kwa uovu alioufanya.
 
Ni dhahiri kabisa hujaelewa ninachokizungumzia mimi. Sisemi popote mTanzania yeyote akajitupe mbele ya mitutu ya bunduki.Nisome unielewe vizuri.
Kama una swali uliza, lakini usiniwekee maneno au maana ambayo sikuilenga katika maoni yangu.
Pumbavuuuuuu
 
Mnataka Trump aje amchukue Samia mkisahau kwa madai ya uongozi usiojali haki za wananchi mnasahau kwamba huyo Trump pia kavunja sheria za kimataifa kwa kuingia kwenye nchi nyingine huru na kumbeba rais.

Mnataka rais wa USA asiyethamini haki za wengine aje awasaidie kumtoa Rais ambaye mnadhani anawanyima haki zenu!.

Samaki mkubwa humla samaki mdogo, huo siku zote huwa utaratibu wa kimaisha.
Unajichanganyachanganya hadi hujui unachozungumzia ni nini. Unaandika tu chochote kinachoingia akilini hata kama hakina mantiki yoyote..

Kama ni" samakiki mkubwa (Trump), atashindwa vipi kumla Samia "samaki" mdogo kabisa!

Hata hivyo maoni yako hayaendani kabisa na kilichowekwa kwenye mada.

Mtaendelea kuchanganyikiwa zaidi, na hasa watu kama huyu Hamza Johari anayechangia zaidi katika kumpotosha Samia kwa kudhani anajuwa sheria kumbe ni kihiyo mkubwa; ni yale yale ya akina Nasoro Katuga!
 
Vihiyo ni nyinyi mnaozidi kujianika mlivyo watupu kwenye masuala mbalimbali.

Mlitaka Trump aje amchukue SSH kwa kigezo cha Rais wetu kutotenda haki, mkasahau kwamba hata yeye Trump hatendi haki kumvamia na kumkamata Maduro.

Kwa kifupi wanaharakati mnahangaika tu hamjui mshike lipi muache lipi.
 
Trump ana nguvu ya kumnyakua hadi maduro, hata wewe labda una nguvu dhidi ya mwingine, ndiyo maana tunamuomba Trump atumie nguvu hizo dhidi ya samia muuaji, hatuangalii kama Trump ni mtakatifu or not, tunachohitaji ni nguvu zake, mengine atuachie wenyewe
 
Back
Top Bottom