- Thread starter
- #21
Umelegea kuzidi kiasi sasa; hata kumtetea Samia haiwezekani tena!Vihiyo ni nyinyi mnaozidi kujianika mlivyo watupu kwenye masuala mbalimbali.
Mlitaka Trump aje amchukue SSH kwa kigezo cha Rais wetu kutotenda haki, mkasahau kwamba hata yeye Trump hatendi haki kumvamia na kumkamata Maduro.
Kwa kifupi wanaharakati mnahangaika tu hamjui mshike lipi muache lipi.
Unajilazimisha tu ubaki na shetani mwanamke huyu, kwa sababu huna namna ya kuachana naye. Hamza Johari haponi, ni kiungo muhimu katika uovu alioufanya Samia.