Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mungu ana makusudi na kila jambo.Samia amedhamiria kumnyonga Tundu Lissu.
Kosa lake nikuwapigia kelele wezi.Sioni kosa la Lissu!
Wenye makosa ni kina Rostam Azizi wezi
Kina Abdul
Kina Samia mwenyewe ila Lissu ukiuliza ameiba nini hakuna
Britanicca
Walisema online sio liveKwan serikali yenyewe si ndo walisema kesi itaendeshwa live tena kwanini hawataki wanavuliwa nguo sana