Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Wakati mwingine lawama zinaenda kwa tiss lakini sio kweli hawa tiss sio kila uovu wa hili taifa wanahusika nalo hilo mlielewe ndugu zangu
 
Wakati mwingine lawama zinaenda kwa tiss lakini sio kweli hawa tiss sio kila uovu wa hili taifa wanahusika nalo hilo mlielewe ndugu zangu
Kuna kitu wazungu wanaita collective responsibility yaani hata kama hauhusiki moja kwa moja ila kwakuwa jukumu ulipewa wwe basi ni lazima uwajibike.... Yaani TISS wamepewa mandate kulinda usalama wa nchi hivyo likitokea lolote la kuhatarisha usalama lazima wakubali lawama zielekzwe kwao maana wao ndio wamepewa hilo jukumu hivyo ningependa hilo lieleweke.
 
Hakuna kazi ngumu kama kulinda uhai wa jilani yako,nakutumika kama ngao ya raia wako,,,,yaani its better wewe ufe jilani yako apone mpika chapati siku zote hawezi elewa umuhimu wa kunde
Moja ya kanuni za uhai inasema:-
"USALAMA WAKO KWANZA"
 
We unakosa bahati hivi hivi si ujitokeze uonane nao
 
kitengo cha mapishi kipo? maana ndio fani yangu pale NCT
Kitengo cha mapishi hamna,labda kama camp na wakati wa coz ya awali.lakini ukisha kuw recrutd sidhan kama utakuwa na kitengo hicho coz shughul za kufanya ni nyingi mno tofaut na upishi
Hivyo ndivyo ninavyo sikia
 
Aisee kwanini sasa Mkuu?
Ubaya mwingine ni unaweza kusacrifice maisha yako kwa mission ulio ifanikisha mwenyewe..pia wanamaisha magumu sana sababu inawachukua mda mrefu kuishi maisha ambayo sio halisi
 
Mitaa ipi hiyo mzee baba?
 
Kitengo cha mapishi hamna,labda kama camp na wakati wa coz ya awali.lakini ukisha kuw recrutd sidhan kama utakuwa na kitengo hicho coz shughul za kufanya ni nyingi mno tofaut na upishi
Hivyo ndivyo ninavyo sikia

Daah bora nibaki Kariakoo nipikie Wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…