Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Hakuna sehemu yoyote wanayopenda kukaa na watu wa usalama kama hujui bora unyamaze
umekalili bro

kila taasisi ya serkali ina dawati maalum la watu wa tiss na sio kila tiss ni mchomaji wengine wapo ajiri ya ushauri

mfano mkuu wa misitu kigoma yupo karibu saana na watu wa tiss katika harakati zake za kupambana na ujangiri na huwa wanampa full support

pia majuzi tu hapa TPA Kigoma imepigwa bilion 8 watu wa tiss from makao makuu wakaja na sasa bado wapo tunaishi nao(kuna uchunguzi unaendelea)
 
Wewe ndio umekariri kazi kubwa ya usalama wa taifa ni kukusanya taarifa kwa siri na kuwasilisha kunakohusika hao unaosema si ajabu hawako huko .
Hivi utajuaje kama taarifa inayopelekwa juu yako ni nzuri au mbaya.
 
Acha tusimplify sio kila tiss lazima awe kificho wengine wapo kama washauri tu

na nimekutolea mfano wa afisa misitu kigoma yeye kila akipata shida anakimbilia kwa tiss kuomba msaada

je wale wanaokaa ofisi za kata huwa hawajulikani ?

Wengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
[emoji38][emoji38][emoji38]nimechoka sana dah aseee aya bana
 
Acha tusimplify sio kila tiss lazima awe kificho wengine wapo kama washauri tu

na nimekutolea mfano wa afisa misitu kigoma yeye kila akipata shida anakimbilia kwa tiss kuomba msaada

je wale wanaokaa ofisi za kata huwa hawajulikani ?
Mara nyingi ambao huwa wanafahamika ni DSO na RSO maana huwa wanaambatana na DC au RC, ila watendaji wengine ambao ndio watendaji wa idara huwa hawafahamiki na sehemu nyingi huwa ofisi zao wanazitenga nje ya majengo ya ofisi za RC na DC. Huyo afisa misitu anaweza kuwa anawasiliana na DSO au RSO tuu. Ukweli ni kuwa hakuna mtu anayependa kuwa karibu na hao watu maana huwezi jua anatoa taarifa yako ipi, inaweza kuwa niya kiutendaji au maswala binafsi mfano mali na tabia, na ndio maana kama akigundulika au kuhisiwa huwa wanaamishwa
 
huu ni UONGO kwann wakuue ?

hakuna jwtz yenye nidhamu na ufanisi bila TISS
Kwaiyo wewe unavyodhani Toss wao Ni binadamu kutoka nje ya Dunia hii au Soo namaanisha yaani Sio binadamu wenye Tania na hulka Kama za binadamu wa ulimwengu huu so ndo manake mpaka mpàka wao wawepo jeshini ndo jeshi linakuwa na nidhamu na weledi, punguza uongo kaka
 
Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu,

TPDF kuna INTELLIGENGE pia!!
 
Kwaiyo wewe unavyodhani Toss wao Ni binadamu kutoka nje ya Dunia hii au Soo namaanisha yaani Sio binadamu wenye Tania na hulka Kama za binadamu wa ulimwengu huu so ndo manake mpaka mpàka wao wawepo jeshini ndo jeshi linakuwa na nidhamu na weledi, punguza uongo kaka
Acha chuki na tiss

ukweli ndio huo hakuna jwtz yenye nidhamu na waledi bila tisa imara full stop sina muda wa kufafanua elewa hivyo
 
Acha chuki na tiss

ukweli ndio huo hakuna jwtz yenye nidhamu na waledi bila tisa imara full stop sina muda wa kufafanua elewa hivyo
TISS na JWTZ hizi ni taasisi mbili zenye kazi tofautil.
Yaani nidhamu ya tiss iwe controled na jwtz ni total hoax.
Jwtz ndani yake wana Military intelligence.. hawa pia ni spies kama tiss. Tofauti wao wana gather intelligence sources for military.
Pia wana work kwa karibu na counterparts wao ambao ni Tiss.
 
Back
Top Bottom