Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoapoaSijawahi ona SALARY SLIP ya TISS
Bazazi
huu ni UONGO kwann wakuue ?Hata jeshini wapo ingawa jeshini wakiwagundua wanafanya kila mbinu wawamalize ama kwa kashifa au hata kuwaua
Hakuna sehemu yoyote wanayopenda kukaa na watu wa usalama kama hujui bora unyamazehuu ni UONGO kwann wakuue ?
hakuna jwtz yenye nidhamu na ufanisi bila TISS
umekalili broHakuna sehemu yoyote wanayopenda kukaa na watu wa usalama kama hujui bora unyamaze
Wewe ndio umekariri kazi kubwa ya usalama wa taifa ni kukusanya taarifa kwa siri na kuwasilisha kunakohusika hao unaosema si ajabu hawako huko .umekalili bro
kila taasisi ya serkali ina dawati maalum la watu wa tiss na sio kila tiss ni mchomaji wengine wapo ajiri ya ushauri
mfano mkuu wa misitu kigoma yupo karibu saana na watu wa tiss katika harakati zake za kupambana na ujangiri na huwa wanampa full support
pia majuzi tu hapa TPA Kigoma imepigwa bilion 8 watu wa tiss from makao makuu wakaja na sasa bado wapo tunaishi nao(kuna uchunguzi unaendelea)
Wewe ndio umekariri kazi kubwa ya usalama wa taifa ni kukusanya taarifa kwa siri na kuwasilisha kunakohusika hao unaosema si ajabu hawako huko .
Hivi utajuaje kama taarifa inayopelekwa juu yako ni nzuri au mbaya.
bado ipoThread yako natabiri itakufa kifo cha mende, ,japo kuna hoja ndani yake
[emoji38][emoji38][emoji38]nimechoka sana dah aseee aya banaWengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
Mara nyingi ambao huwa wanafahamika ni DSO na RSO maana huwa wanaambatana na DC au RC, ila watendaji wengine ambao ndio watendaji wa idara huwa hawafahamiki na sehemu nyingi huwa ofisi zao wanazitenga nje ya majengo ya ofisi za RC na DC. Huyo afisa misitu anaweza kuwa anawasiliana na DSO au RSO tuu. Ukweli ni kuwa hakuna mtu anayependa kuwa karibu na hao watu maana huwezi jua anatoa taarifa yako ipi, inaweza kuwa niya kiutendaji au maswala binafsi mfano mali na tabia, na ndio maana kama akigundulika au kuhisiwa huwa wanaamishwaAcha tusimplify sio kila tiss lazima awe kificho wengine wapo kama washauri tu
na nimekutolea mfano wa afisa misitu kigoma yeye kila akipata shida anakimbilia kwa tiss kuomba msaada
je wale wanaokaa ofisi za kata huwa hawajulikani ?
Hata ukiiona huwezi kuitambua pili hawana kabisa huo upupu mnaita salary slip na Kama ipo hutaona imeandikwa tiss never wanaweza kutumia code za mfumo wa namba kutambua vote na sub vote biambege mbegebiaLeta slip ya TISS
Kwaiyo wewe unavyodhani Toss wao Ni binadamu kutoka nje ya Dunia hii au Soo namaanisha yaani Sio binadamu wenye Tania na hulka Kama za binadamu wa ulimwengu huu so ndo manake mpaka mpàka wao wawepo jeshini ndo jeshi linakuwa na nidhamu na weledi, punguza uongo kakahuu ni UONGO kwann wakuue ?
hakuna jwtz yenye nidhamu na ufanisi bila TISS
Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu,
Inaitwa MITPDF kuna INTELLIGENGE pia!!
Acha chuki na tissKwaiyo wewe unavyodhani Toss wao Ni binadamu kutoka nje ya Dunia hii au Soo namaanisha yaani Sio binadamu wenye Tania na hulka Kama za binadamu wa ulimwengu huu so ndo manake mpaka mpàka wao wawepo jeshini ndo jeshi linakuwa na nidhamu na weledi, punguza uongo kaka
TISS na JWTZ hizi ni taasisi mbili zenye kazi tofautil.Acha chuki na tiss
ukweli ndio huo hakuna jwtz yenye nidhamu na waledi bila tisa imara full stop sina muda wa kufafanua elewa hivyo