Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Hao ni TISS au takukuru.?
 
Aliye karibu nao anajipendekeza namjua
 
Usalama wa Taifa wanapendwa Sana TZ



Hata watumike kumpeleleza baba mtu mtu mwenyewe atapenda
 
Acha chuki na tiss

ukweli ndio huo hakuna jwtz yenye nidhamu na waledi bila tisa imara full stop sina muda wa kufafanua elewa hivyo
Acha kuandika usiyoyajua unajua kazi za CMI kwa sasa zamani ni MI??
 
Kipindi cha kagera war Bernard membe jasusi mahiri alikuwa uganda kama muuza spea kwann jwtz wasingetumia watu wao wa MI ?

unajua kuwa MI inaundwa na wanajeshi watupu na unajua ugumu uliopo kutuma mwanajeshi wa nchi A kuingia nchi B ?

mossad ndio wanaodili saana na Iran kwann Israel wasitumie majasusi wa MI ?

unajua kuwa mkuu wa takukuru wa sasa pamoja na kuwa ni mwanajeshi wa jwtz lkn alikuwa ni muajiriwa wa tiss

Acha kuandika usiyoyajua unajua kazi za CMI kwa sasa zamani ni MI??
 
wewe ulipata taswira gani siku ambayo JPM alimteua Diwani othumani kuwa mkuu wa takukuru alafu akamwambia siro kuwa huyu diwani ambae alikuwa ni msaidizi wa siro kuwa alikuwa ni usalama wa taifa ?

unajua kuwa wanaofanya usahili wa viongozi wote wa kiraia na huko jeshini ni tiss ndio wanaopeleka mwenendo wa viongozi kwa rais kuwa huyu anafaa huyu hafai that why nasema hakuna jwtz yenye nidhamu bila tiss madhubuti
 
Wanaofanya vetting ya viongozi ambao wanahudumia raia kama mawaziri up to rais. Makatibu wa wizara ma dc.. wale ni vetting ya TISS.
Umetolewa mfano wa diwani.. kwa polisi inawezekana maana wao ni paramilitary element.

JWTZ ni main component nchini ambayo ni full military component.
Wana vitengo vyao. Ni kiongozi mmoja tu huwa anafanyowa vetting na TISS ambae anakuwa general.
Chini ya hapo wengi wanafanyiwa vetting na kamati maalumu ya uongozi jeshini.
Ndani ya hii kamati vina include component zote za majeshi.. from Infantry.. airforce..navy.. nationa service.
Hawa generals.. wanakuwa na info zote kuhusu mujisika. Then wanamjadili kwa siku kadhaa kambla ya kuruhusu kuteuliwa au kupandishwa cheo cha juu kabisa.
Military sio dumb mpaka wasimamiwe na TISS. Wenyewe wana ji manage. Na wana experience na uwezo huo.
 
Mhuuu!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Membe time's za kagera war alikuwa na kazi gan huko uganda akiwa kama mwatiss
 
Wasalimie hapo Manispaa Ujiji
 
Ndugu yangu umepotea sana
 
Unabishana na ukweli uliopo,TISS ndio kila kitu katika nchi hii.TISS ina dhamana kubwa sana tofauti na tunavyowachukulia,ingelikuwa mimi ndio mkulu mlolongo wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini ungalikuwa;
-TISS
-JWTZ
-PT.
Hawa jamaa wanamchango mkubwa sana ndio maana hata mishahara yao ni mikubwa kuliko taasisi yoyote ya ulinzi na usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…