Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

hii kazi yenu inahitaji IQ ya hali ya juu.
 
Hujui unachoandika
 
Huyo Bachelor kuna vitu bado haelewi
 
Huyo Bachelor kuna vitu bado haelewi
Naelewa saana ila tunashindwa kuelewana hapa kwenye suala la kuwa tiss wanaweza kutumika kukusanya taarifa ambazo zinatumika na jeshi kuliko MI nikatoa mfano wa membe

MI inajikita zaidi kwenye ukusanyaji wa taarifa za kijeshi na watendaji wake ni wanajeshi na ninavyojua mm ni rahisi kumtambua mwanajeshi hata kwa mwendo tu sasa wanawezaje kuingia kwenye nchi adui na kupata taarifa za jeshi la adui
 
mengine hayawezi kuandikwa hapa yote, ila ujue kuna watu ni wanajeshi wako kwenye majeshi ya nchi nyingine huko kwa watu.
wamefanya usaili na wanapiga kozi basic mpaka wanafanikiwa kupanda ranks za juu kabisa, lakinina huku kwao wana vyeo kijeshi tena.

maofisa wa usalama wanafanya upelelezi wa mashaka yote yanayohatarisha usalama wa taifa kwa ujumla wake, ndio hapo muingiliano na kitengo cha jeshi(MI) huzaliwa.

lakini si kweli kwamba wa role kubwa kabisa kwenye mfumo wa wa utendaji wa jeshi, hapana.
 
wewe sasa unaleta ushabiki.

ni sawa na mtu akwambie ni organ gani katika mwili wa binaadam ni muhimu sana kuliko nyingine, ukurupuke na kusema ubongo.

unasahau ili ubongo ufanikiwe kuuongoza msuli, kuna mfupa lazima uwe umeushikiria huo msuli, vinginevyo ubongo hautafanya kitu.

swala la jwtz kukaa nafasi ya kwanza hapo sio kwamba lenyewe ni muhimu zaidi,ni swala la kimfumo zaidi, hivyo vyombo kuwekwa hapo ni kwa sababu ya asili ya majukumu yake kuwa na mfanano.zinaitwa taasisi za ulinzi na usalama.
 
hata polisi haiwezekani vetting ifanywe na TISS,

ndio maana kuna utaratibu kwa igp kupeleka jina la anayetaka kuwa mrithi wake. na mara nyingi huwa yanapita.
 
wanajeshi wanaweza vizuri sana. kitengo cha M.I kina receive mafunzo heavy sana maana.

jeshi sio dumb kwenye intelligence.. they know how to work.
umetolea mfano hapo mwanajeshi unaweza mjua hat tembea yake.. vip atakusanyaje intel?

well wanakuwa trained ku blend , walkings, deep covers.. na n.k.
yes TIss inaweza kuprovide intel to the military wakafanyia kazi.
but tiss is not the only one.. M.I wanafanya the same.. maybe even more.
tofauti M.I sio popular kama TISS.
 
hapo mwisho umejichanganya kidogo...yupo rafiki yangu nilisoma nae ni komando wa Jwtz lkn anafanya kazi TISS
Basi jua alianzia TISS huwezi kwenda kuwa spy TISS jaribu kuficha ujinga na kupunguza pipipili kwenye chai.
 
Anataka kutapeliwa uyo.
 
Nakuaminia bro hujawahi kuongea pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…