Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Huna lolote unalolijua naomba ukae kimya tu mkuu.
Kitu chochote kinachofanyika kwa siri, huwa kinasisimua, it creates alot of mysteries and sensation. lakin ukikichunguza hamna lolote. Angalia brotherhood kama ya Freemason, Illuminati nk Au angalia mwanamke alievaa hijabu fullu..unatamani ujue kilichomo lakin ukijua kumbe ni kawaida tu. Katika maisha yangu nawajua usalama kama kumi, wengine nilisoma nao..wana maisha gani kwa mfano? Ni kama wafanyakazi wengine tu, kagari labda na kanyumba...nini cha ajabu hapo. Acheni mastory ya vijiweni na kutishiana ooh utapotezwa!Mambo ya kizamani. CIA wenyewe huko marekani sio matajiri ndo iwe hapa
 
Akili kubwaa
 
TPDF ni takataka mbele ya TISS huwezi mlinganisha afisa na askari wa JWTZ hata huko TPDF wamejaa wanausalama kwa ufupi TISS ni kama damu katika mwili wa binadamu hata TPDF inategemea uwepo wa TISS kuwa hapo ilipo.
ficha ujinga wako..narudia tena FICHA UJINGA WAKO
 
Niwaeleze tuuuuu




Chombo chochote rahayake nikuwa na cheo cha juuuuu

Captain wa jeahi tuuuuu basi halifahamu jeshi jeshi no bahari bora hata General wa jeshi



Au Chief of staff



Ila nasikitikaga jeshi likipindua nchi kati ya mambo 10 ya kwanza nikuwashika na kuwaua wanausalama wa siri




Reference most of coup d'etat
Za ulimwenguni





TANZANIA JESHI LIKICHUKUA NCHI WANAANZA NA
DG
DDG
Nawengine wote wambea wambea
 
Kwanini
 
Sasa si uendelee? Black bag job ni nini? Punguza uswahili tafadhali, kama ni hivyo hukuwa na haja ya kuleta vidokezo vya aina hii, stori yako ungekaa nayo mwenyewe tu, Waafrika sijui tunashindwa wapi.
 
Mnabishana kitu kidogo sana, yuke Boss aliyefichuliwa na jiwe kwamba ni TISS mnamkumbuka ? Yule ni polisi na kazi yake huko ilikuwa ni kuoeleka taarifa kwa jiwe kuhusu polisi kwa mfano askari fulani amefanya hivi nk. Hao wapo hadi TPDF na kazi yao ni kupeleka taarifa kwamba mkuu wa sehemu fulani amefanya jambo fulani au jeshi linafanya hivi nk
Kwa kifupi hadi jeshi la mgambo kuna TISS,wamewekwa majeshini kuhakikisha wanazima majaribio ya mapinduxi na kuwachomea ma boss wauza silaha nk. TiSs ni wambea na kazi yao ni kufanya umbeya so usidhani eti wakiwa JWTZ hawatoi siri za jeshi. Wapo maafisa wa TISS hadi ulaya,congo,uganfa nk.pale Uganda wakati vita ndio imeanza kuna askari wa TISS walitumwa UG ila mmoja alidakwa akauliwa,walimshtukia coz alijidai chizi so akaanza kufuatiliwa
Afu hoja yako eti TISS akichunguza jeshi atauwawa ni dhaifu sana, nani wa kumuua ? Unajua hadi askari wa jeshi kuuwawa ni mpaka atiwe hatiani na mahakama ya kijeshi ? Sasa mtamuhukumu kumuua mtu aliyetumwa na amiri jeshi mkuu ?. Na unadhani kumjua ni rahisi ? Nakupa mfano hapo Congo jeshi liliunda mpango wa kumuua rais ila akatonywa na watu wake wa usalama ndani ya jeshi
 
Unamadini


Japo hayana proof
Naomba story wa kichaa wa Uganda na jaribio congo
 
Toa madini unaogopa nn
 
Raia wanaongea kwa namna wanavyoona huku nje. Huko kwenye circle zao wanaheshimiana wote CID (Police) , MI (JWTZ) , na TISS. Hawa ni wanausalama wa wazi ambao wanajulikana na majukumu yao ila ndani ya majeshi kuna mifumo migumu ambayo hakuna anayeweza kuijua labda Nyerere alikufa na hii siri na hata JPM aliwahi kugusia kidogo.

Zipo idara za kiraia, taasisi za kidini, vyama vya siasa zimejaa manguli wa ujasusi na pengine wakurugenzi wao wa siri wapo huko kwenye majeshi n.k Inawezekana hata Rais anajua kwa sehemu tu ndio maana mara nyingi Rais akiinga madarakani anafukuza watu ovyo alafu baadae akipata facts anatulia na pengine kuwateua aliowafukuza kwa kashfa!

Unaweza kukuta Tundu Lissu pamoja na u radical wake lakini wanaom control bila yeye kujua ni Tiss ( mfano). Kama unafikiri mambo ni rahisi kesho Shiba ugali wako alafu kaombe usajili wa chama cha siasa [emoji41]. Huu ni uchambuzi wangu wa kufikirika tuuu [emoji2958]
 
Who are you Mr.. how comes you have known all these?
 
Ni kweli tupu na sio hao tu hata wakurugenzi wa halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…