mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
TPDF ndio wenye nchi
usichanganye ccm na tpdf.ni vitu tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TPDF ndio wenye nchi
Wanatawaliwa na wanawake zào maana mwanamke mwenye akili hawezi kutombana na Askari maisha yake yote.....hawapo humbly kwenye mapenzi
Hawana mahakama wale, uki mess up wanakumaliza kibingwa
Dah mkuu kuna vitu umeviongea mpaka nineanza kukutamani.Lakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ,
Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa Para-militaristic sana na TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe. Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa hali ya juu sana.
Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja.
TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.
Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mfano tu, mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Mind" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa za kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Administrative Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.
NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.
Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........
NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic of Para-Militaristic in nature........
Cc: zitto junior , Consigliere , ISIS , mngony , mng'ato , Poise , chige, Da'Vinci
Sijajua mpaka sasa wanatumia vigezo gani kwa askari wao lakini naona katika ku recruit kwao kuna tatizo mahali.kuna shida usalamani kwetu for sure...binafsi najua kazi moja kubwa sana ya under covers ni last para za sms za mange kimambi "hide my ID" undercover yoyote akishajulikana basi ni useless he deserve to die....siku mpaka najishangaa yaani kuna siku niko bar napiga story na mshikaji huku tunakula bia story zikahitaji mawasiliano wakati tunabadilishana no ndo ikabidi nimulize jamaa anaitwa nani akaniambia we save.......usalama...nikapata kigugumizi kidogo nikamuuliza unasema??? akarudia tena Somebody usalama..dah na mimi nikasve the same name...baada ya muda ikabidi ni chunguze nikakuta kweli ni usalama...now najua hadi ofisini kwao...watumishi wao wote waliopo hapo ofisini...na jamaa mwaka jana kapanda cheo ndo alitangaza kila mahali na akafanya bonge la part.... binafsi nina kaconection kaujasusi bt idara nyingine low level kabisa ila methods and tactics remain the same ..so nadhani mwaka jana depo jipya liliingia uraiani kuna kadada kembamba kweli kalegevu haswa nako ni TISS yaan ni nanga mpaka basi...kila nyumba anayoishi haipiti mwezi anatambulika so anaamua kuhama...kahama kama nne alivyokuja kwangu na mimi nikamjua hata sikumficha siku moja nikamwambia wewe ni nanga usalama gani sasa wewe? alimind akataka hadi kulia jamani mim nimehama nyumba ngap sijui ilo nisijulikane lakinj naona hata siwezi nikamwambia ndo unanga wenyewe..... pia maboss wao wanawatumia vibaya sana kiasi kwamba inakua ngumu kuhide ID..
Hv TPDF waamue kukinukisha siku wakichukia hawa UWT watafanya nn ?Hujui unachoongea. TISS hana kazi asiyofanya ilmradi inaathiri usalama wa taifa. Kazi za TPDF zinajulikana na ziko limited to kulinda nchi kutokana na vitisho vya nje. Vitasaidia vyombo vya ndani hasa polisi iwapo wameshindwa.
Ni kweli kimuundo TPDF wapo juu ila kiutendaji, TISS wanaongoza jahazi.
Hebu fanya editing hapo chini, ni mlinzi namba moja wa fisiemUmeandika sawa ila kuna kosa kidogo. TISS ina watumishi wake na hakuna mwanajeshi aliyeanzia TPDF. Ukimkuta ujue TISS ilimpeleka na si vinginevyo.
La maana ni hilo TISS ni mlinzi namba moja wa nchi (firstline of defence).
Hahahaha hao unaoona wanakazi sana huwa maji yakiwafika shingoni huwakimbilia wazee wa kazi refer Kibiti now kimyaaaaKazi ya kukesha mkilinda silaha zetu ndio waona kazi ngumu hiyo, Ugumu wa kz yenu ipo pale tu ikitokea vita. Binafsi naipenda kz yenu mnakula shumbwela mbaka basi.
Acha uongo kuna neno umetumia ndio maana kakujua raia hawezi kujua hilo.Hata jkt cjapita ila nafanya kazi nilio ipenda ila hizi kazi za ulinzi ilikuwa plan B
Kuwa makini chief washakuweka kweny "watch list" haoWengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
Shukrani kiongoziKuwa makini chief washakuweka kweny "watch list" hao
Haha hata Mimi nimeliona hilo neno Mkuu kwa ambaye hakupitia awezi kufahamu kirahisiAcha uongo kuna neno umetumia ndio maana kakujua raia hawezi kujua hilo.
Hata siamini unaweza kunithibitishia hili ulisemalo?Kwanini mnaliweka pembeni jeshi la polisi na kukomaa na Jwtz pekee?Ina maana ni kweli hamjui kwamba jeshi la polisi lina taarifa nyingi na muhimu kabisa za kiusalama kuliko hata Jwtz?
Mkuu hivi wale criminal investigation officers police wanalink vipi na TISSHata siamini unaweza kunithibitishia hili ulisemalo?
Hapo Afande umepotea taasisi zote za kijeshi zinahitajiana sana usiseme kuwa huko kwenu polisi hamuhitaji msaada kutoka taasisi zingine za kijeshi najua unalijua hilo ila umeandika tuhalijasahaulika,ila ni ishara kwamba linajitegemea halihitaji msaada kutoka taasisi nyingine katka utendaji wake.ndio maana hujaona likihusishwa hapo.
Hapo Afande umepotea taasisi zote za kijeshi zinahitajiana sana usiseme kuwa huko kwenu polisi hamuhitaji msaada kutoka taasisi zingine za kijeshi najua unalijua hilo ila umeandika tu