Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Kwanza ili kuwa huko ni vigezo gani vya awali wanavihitaji maana hiyo kazi inatufaa sisi ambao hatuna cha kupoteza na wenye uhitaji wa kulitumikia taifa
 
Kwanza ili kuwa huko ni vigezo gani vya awali wanavihitaji maana hiyo kazi inatufaa sisi ambao hatuna cha kupoteza na wenye uhitaji wa kulitumikia taifa
Sifa ya kwanza uwe mwana sisiemu.
 
Wengine wanashinda majumba ya Ibada kama waumini.
Na wengine kwa nje wanaonekana ni Mapadri, Wachungaji, Maaskofu, Wainjilisti, Masheikh, Ustadhi au Wazee wa kanisa kumbe ni Mashudhu.
Mfano mzuri ni yule mzee wa konyangi Ubungo na yule wa Arusha Inkoko.
 
Mimi nilishawahi kupaliwa na pepeta wee yaani ule mchele uliokaangwa ukikupalia kazi kweli nilikwenda Mofu na Chita ndio penyewe pale bila kusahau viwanja sitini,Mwaya hadi Kilosa kwa mpepo kwa kalembwaani hadi Mtimbira kwa Magungo
[emoji849][emoji849]
 
Mkuu mbona ni Suala Dogo sana ilo kikubwa ni kukaa nae Mwambie nawe unapenda sana usikae nae Mbali atakusaidia hata Mimi nahitaji sana Kama ntamjua aweze kunisaidia Mkuu si unajua Msaada wangu unaweza ukawa kwa MTU mwingine kupitia wewe... Natamani sana nije huko mjini Niko Kilosa vijijini...
Kilosa sehemu gani
 
Lakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ,
Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa militaristic sana na TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe. Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja.
TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.

Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mfano tu, mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Mind" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa za kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Administrative Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.

NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.

Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........

NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic of Para-Militaristic in nature........
Umemaliza kila kitu hapa lakini all in all bado hatujajua je haya masuala yanapaswa kujadiliwa public au ndo yawe kificho kwa ajiri ya wenye taaluma hizo pekee
 
Athari ni pamoja na kufa taratibu kwa kuyajua mabaya mengi yanayoisumbua nchi na huna la kufanya zaidi ya kumweleza mkurugenzi mkuu na mfadhili. Ni mbaya sana kujua kisa na njia ya kukimaliza lakini huwezi tenda.

Lazima ufe kwa kihoro. Suluhisho: Ulevi na Umalaya
Mbaya kuliko zote nikujuwa juwa mambo mazito wakati mwingine Yana igusa familia yako ila ukashindwa kumtafuta muhusika na kuongea naye japo mshahuri maana kufanya hivyo na wewe ni marehem. Yani ni full presha ndio maana some agency nibata mwanzo mwisho
 
Hata jeshini wapo ingawa jeshini wakiwagundua wanafanya kila mbinu wawamalize ama kwa kashifa au hata kuwaua
 
Athari ni pamoja na kufa taratibu kwa kuyajua mabaya mengi yanayoisumbua nchi na huna la kufanya zaidi ya kumweleza mkurugenzi mkuu na mfadhili. Ni mbaya sana kujua kisa na njia ya kukimaliza lakini huwezi tenda.

Lazima ufe kwa kihoro. Suluhisho: Ulevi na Umalaya
Mbaya kuliko zote nikujuwa juwa mambo mazito wakati mwingine Yana igusa familia yako ila ukashindwa kumtafuta muhusika na kuongea naye japo mshahuri maana kufanya hivyo na wewe ni marehem. Yani ni full presha ndio maana some agency nibata mwanzo mwisho
 
Vipi upande wa maslahi TISS&Jwtz
Maslahi naamini JWTZ wako vizuri. Sababu! Wanaogopwa kwani wana mizinga, vifaru, ndegevita na risasi! TISS wana kalamu na karatasi tu.

Mishahara ya JWTZ ipo juu kidogo ukilinganisha vyeo mfano mwajiriwa anapotoka chuoni (Security & Intelligence Academy na Military Academy). Pili JWTZ wana posho nyingi ilhali TISS wana mbili tu Nyumba na Chakula.

Bazazi
 
Mkuu nadhani hapa tunachanganya Kati ya idara hizi mbili zote zinakazi ya kulinda taifa ningependa tuwaachie mifumo yao kwa sababu tukianza kujadali maslai haitosaidia Tena kwa idara Kama TISS ambalo mambo yao ni Siri Sana ningeomba tuyaache ili hata hao wanaotaka wajue kuwa msingi ni kuwa na kifua
 
Maslahi naamini JWTZ wako vizuri. Sababu! Wanaogopwa kwani wana mizinga, vifaru, ndegevita na risasi! TISS wana kalamu na karatasi tu.

Mishahara ya JWTZ ipo juu kidogo ukilinganisha vyeo mfano mwajiriwa anapotoka chuoni (Security & Intelligence Academy na Military Academy). Pili JWTZ wana posho nyingi ilhali TISS wana mbili tu Nyumba na Chakula.

Bazazi
Leta slip ya TISS
 
Back
Top Bottom