Upande wa ukingo wa Magharibi aliko Mahmoud Abbas wana vita vyengine vikali kuliko vya Gaza

Wakati haya yanaganywa serikali ya Palestina inakuwa wapi?
 
H

Hata wayahudi walivyokuwa wanamsulubisha yesu mlimuuliza hvyo hvyo kapgwa mpk kafa mmeshindwa kumsaidia halafu sasa hv mnasema damu yake imewakomboa

Kifo cha Yesu kilikua kafara ya kuondoa dhambi,hivyo kupitia damu yake wote waamini kwake wamepokea msamaha wa dhambi kwa neema,

Tofauti kubwa kati ya Yesu na mitume wengine ikiwepo mtume wa mchongo mudi pedophilia ni kwamba kaburi la Yesu liko wazi aliishinda mauti na sasa yu hai katika mkono wa kuume wa Mungu akihukumu mataifa kwa haki.

Pona yako ni kumkiri na mumfuata Yesu kristo.
 
Dunia imewasahau Wapalestina, hii sio haki
 
Ramallah, Jeusalem, Jeriko, Jenin na kuendelea.
Hii miji yote ni ya wayahudi.Kusema mtu anakalia kimabavu maeneo yake ni kumkosea adabu.Jerusalem ni mji wa mfalme Daudi.Daudi hakuwa mpalestina bali ni myahudi.Ramallah, Westbank inaitwa Hebron,ambapo mfalme Daudi alitawala kabla ya kuhamia Jerusalem.Nitaweka ushahidi wa kibiblia ambayo ilikuwepo miaka mingi kabla ya Quran 🤔
.....
2 Samuel 5:4-5

Daudi alikuwa amepata miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arobaini.
Huko Hebroni alitawala miaka saba na miezi sita; na katika Yerusalemu alitawala miaka thelathini na tatu juu ya Israeli wote na Yuda. Yerusalemu Wafanywa Makao Makuu
 
Huu si utu!

Hata kama huwapendi!
nimesema hivi kwasababu hata kama Tanzania ingekuwa imepakana na israel, hatuna la kufanya, hatuwezi kuipiga israel na wala kuwasaidia chochote. kama misri taifa kubwa kama lile limefyata mkia, sasa sisi tulioko huku gongolamboto tutatoa msaada gani. hatuna la kufanya.
 
Basi angalau ungelitoa maneno ya namna hii isingelikuwa tabu.

Ila kauli ya awali haikuwa yenye afya! Kwa sababu pande zote mbili wanauwana. Haitakuwa vizuri kwa binadamu kutoa maoni ya namna ile ukizingatia kuna umwagaji wa damu kwa pande zote mbili.
 
Mtaandika andika ila ndio hivyo, mliyataka na mumeyapata na mtaendelea kuyapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…