Upande wa ukingo wa Magharibi aliko Mahmoud Abbas wana vita vyengine vikali kuliko vya Gaza

Kwa akili ya hizi za wa TZ, CCM dumu kuwatawala ndio dawa yao ya wasio penda haki.
 
Wakati ukiandika uangalie mbele na nyuma.Hayo unayosema kama kwamba yanawahusu waarabu pekee na pia huangalii nani mtendaji mkubwa,
Waislamu na waarabu wanaona akiguswa myahudi tu ndio inakuwa balaa.Mbona kila siku wanauliwa na hakuna anayeshughulika na kumtaka muuwaji aheshimu maazimio ya UN.
Mi ni mwafrica babu. Nachosema achen kushobokea waarabu. Tuna matatizo mengi yetu ya kufuatilia mnaenda kushobokea wanaume. Waarabu wanawaua wanubia hapo Darfur wanachukua nyumba zao mko kimya eti kapigwa mwarabu huko Palestine ndio mnaona watu wanauwawa. Akili matope. Miafrica bure kabisa
 
Hapo Nibia ni vita vya waafrika kwa waafrika waliochochewa na mayahudi na mbeberu wengine. Kama ukiweza kuleta picha zao uweze kufafanua hebu lete.
 
Unajifanya kujitoa ufahamu sio. Hujui rapid force's waarabu. Wanachowafanyia waafrica weusi hapo Darfur sio. Kwahiyo wayahud wanawatumia waarabu sio. Pumbavu kabisa. Akili za madrasa hiz
 
NImekwambia weka picha umekosa halfu unafoka foka kama mayahudi.Basi kama umeshindwa taja majina
 
Mi nishakupuuza maana kama hujui hata wakimbiz wa kiafrika walioko Chad basi we endelea kuwalamba miguu waarabu.
 
Hapo Nibia ni vita vya waafrika kwa waafrika waliochochewa na mayahudi na mbeberu wengine. Kama ukiweza kuleta picha zao uweze kufafanua hebu lete.
kwamba mkipigana mnakuwa mmechochewa , je nyiny mmekosa akili ya kujitambua mpk kila siku nyinyi tu ?
 
Unajifanya kujitoa ufahamu sio. Hujui rapid force's waarabu. Wanachowafanyia waafrica weusi hapo Darfur sio. Kwahiyo wayahud wanawatumia waarabu sio. Pumbavu kabisa. Akili za madrasa hiz
hana akili huyo
 
NImekwambia weka picha umekosa halfu unafoka foka kama mayahudi.Basi kama umeshindwa taja majina
ww ni mpumbav nenda youtube , reasoning yako ndogo sn , akuwekee picha ya nn? wkt video zipo
 
Back
Top Bottom