Upande wa ukingo wa Magharibi aliko Mahmoud Abbas wana vita vyengine vikali kuliko vya Gaza

Wewe inaonekana hasara hata ktk familia yako
Wewe mjinga na nimeamini huko uislam wajinga ni wengi sana na unafiki ndio yenu, mbona sudani waislam weusi wanauawa na waarabu husemi?

Mmezoea kuishi shimoni kama panya, vipi al qassam brigade umeibuka lini yoka shimoni😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mayahudi na washirika wanakalia ardhi za waislam
Ardhi ya waislam ipo Saudia, huko Israel imefikaje!! Israel taifa lina miaka karibu elfu 3, waislamu, warumi na waarabu ndiyo wameivamia Israel na kuwafukuza wayahudi kuanzia karne ya kwanza warumi hadi uislam ulipoanza wakaendeleza, wacha wayahudi wachukue ardhi yao ya asili hadi HEKALU LA MFALME SOLOMON.
 
Dunia imeumbwa na Mungu ambaye ni mmoja tu na yeye ndiye hutoa na kugawa kwa amtakaye.Anabadili umiliki wa vitu kama anavyopenda.Unazaliwa huna chochote halafu unapata.Na unaweza ukazaliwa huna na ukabaki huna mpaka huko mbeleni ndipo Mungu akakupa.
Ukiacha historia za mbali sana ambazo nyengine hazina uhakika ardhi ya Palestina na maeneo yote yanayoizunguka yamepewa waislamu tena kwa aya ndani ya Qur'an.Waislamu wakishindwa kuyalinda wanajitafutia matatizo bure.
 
Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi.

Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa iliyoshikana na yote ikijulikana kama maeneo ya Wapalestina. Miji yake maarufu ambayo wengi watakuwa wanaikumbuka ni kama vile Ramallah, Jeusalem, Jeriko, Jenin na kuendelea.

Katika uporaji ambao umefanyika na unaendelea kila siku maeneo hayo yate, yamechongwa kwa vizuizi vya kuta na madaraja kiasi kwamba familia kadhaa haziwezi tena kutembeleana bila kupata ruhusa za askari wa Israel.

Utenganishwaji huo haujakoma katu, kila baada ya muda mfupi familia zilizobaki hupokea nyaraka za kuwataka wahame ili kupisha ujenzi wa makaazi mapya ya familia za Kiyahudi.

Familia zinazokaidi amri hizo kwa hoja hapo ni kwao au hawana pa kwenda hupewa tarehe maalum za kuja kuvunjwa kwa nguvu majengo yao na kweli huvunjwa na wao kuelekea kwa wenzao kabla nako hawajapewa amri nyengine za kuhama.

Ubaya wa vita vinavyoendelea kingo za Magharibi ni kwamba hutekelezwa kwa namna mbili; kuna amri za kiserikali na amri za walowezi ambao wote wamepewa silaha za moto. Ili kurahisisha kazi zao mara nyingi walowezi hao huvaa sare za jeshi au huambatana na majeshi halisi kutekeleza uporaji wao.

Tangu kutokea kwa shambulio la Hamas ndani ya Israel hapo Oktoba 7 hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa mfano, kwenye kijiji cha Qusra familia za Kipalestina zimekuwa zikivamiwa kwenye majumba na mashamba yao ya zaituni na kuuliwa.

Familia moja ya kijiji hicho baada ya kushambuliwa bila sababu na watoto wao kuuliwa walikwenda kufuata maiti kwenye hospitali moja nje ya kijiji. Safari hiyo tofauti na kawaida ya misafara yoo ambapo hupeperusha bendera za taifa la Palestina, waliamua kutoweka bendera. Pamoja na hivyo walowezi waliwafahamu na kuwashambulia na kuua wana familila wengine.

Wapalestina wa maeneo hayo wanasema mikasa ya aina hiyo ni endelevu bila ya msaada wowote na kwamba kila siku wanazidi kuminywa kwenye maeneo finyu yasiyo na huduma nzuri na mwishowe kupoteza ardhi zao kabisa.

View attachment 2788291
View attachment 2788295

BBC:

Palestinians under attack as settler violence surges in the West Bank

View attachment 2788884
wapalestina watafutiwe tu eneo lingine hawana nchi tena hapo.

Niliona ile video walima zabibu (Palestinians) wanafukuzwa na jeshi la Israel wanaondoka na trekta lao wamepanda kwenye tela huku wakisikitika...
 
Inasikitisha sana.Lakini baada ya kuona hivyo ndio umetoa pendekezo la aina hiyo.
 
Kweli hilo ndilo pendekezo la mwisho.

Israel hawezi acha kuichukua hiyo ardhi yote hadi iishe ata kwa mtutu wa bunduki ataendelea kuimega tu, huo ndiyo ukweli licha ya kuwa ni mchungu.
 
Aliisha chukua alipochukua
Hapo ndio mwisho wake hatachukua tena ghaza atakimbizwa kama alivyokimbizwa 2005
 
Waulize "Occupied West Bank" ata hiyo gaza yenyewe ameishawahamisha kwenda kusini ndani ndani anabomoa kaskazini pakiisha anawafata na huko kusini alipowaambia wakimbilie.

Yaani haijalishi ulienda kusini kukwepa mabomu au ulibakia kaskazini pote ni moto, gaza yote haikaliki....hadi kambi za wakimbizi na hospital.
 
Ni kweli unayoyasema.Inasikitisha sana haya yanayatokea.
 
Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi.

Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa iliyoshikana na yote ikijulikana kama maeneo ya Wapalestina. Miji yake maarufu ambayo wengi watakuwa wanaikumbuka ni kama vile Ramallah, Jeusalem, Jeriko, Jenin na kuendelea.

Katika uporaji ambao umefanyika na unaendelea kila siku maeneo hayo yate, yamechongwa kwa vizuizi vya kuta na madaraja kiasi kwamba familia kadhaa haziwezi tena kutembeleana bila kupata ruhusa za askari wa Israel.

Utenganishwaji huo haujakoma katu, kila baada ya muda mfupi familia zilizobaki hupokea nyaraka za kuwataka wahame ili kupisha ujenzi wa makaazi mapya ya familia za Kiyahudi.

Familia zinazokaidi amri hizo kwa hoja hapo ni kwao au hawana pa kwenda hupewa tarehe maalum za kuja kuvunjwa kwa nguvu majengo yao na kweli huvunjwa na wao kuelekea kwa wenzao kabla nako hawajapewa amri nyengine za kuhama.

Ubaya wa vita vinavyoendelea kingo za Magharibi ni kwamba hutekelezwa kwa namna mbili; kuna amri za kiserikali na amri za walowezi ambao wote wamepewa silaha za moto. Ili kurahisisha kazi zao mara nyingi walowezi hao huvaa sare za jeshi au huambatana na majeshi halisi kutekeleza uporaji wao.

Tangu kutokea kwa shambulio la Hamas ndani ya Israel hapo Oktoba 7 hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa mfano, kwenye kijiji cha Qusra familia za Kipalestina zimekuwa zikivamiwa kwenye majumba na mashamba yao ya zaituni na kuuliwa.

Familia moja ya kijiji hicho baada ya kushambuliwa bila sababu na watoto wao kuuliwa walikwenda kufuata maiti kwenye hospitali moja nje ya kijiji. Safari hiyo tofauti na kawaida ya misafara yoo ambapo hupeperusha bendera za taifa la Palestina, waliamua kutoweka bendera. Pamoja na hivyo walowezi waliwafahamu na kuwashambulia na kuua wana familila wengine.

Wapalestina wa maeneo hayo wanasema mikasa ya aina hiyo ni endelevu bila ya msaada wowote na kwamba kila siku wanazidi kuminywa kwenye maeneo finyu yasiyo na huduma nzuri na mwishowe kupoteza ardhi zao kabisa.

View attachment 2788291
View attachment 2788295

BBC:

Palestinians under attack as settler violence surges in the West Bank

View attachment 2788884

View: https://x.com/ajsteelshow/status/1829187261428314515
 
Back
Top Bottom