Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Basi angalau ungelitoa maneno ya namna hii isingelikuwa tabu.
Ila kauli ya awali haikuwa yenye afya! Kwa sababu pande zote mbili wanauwana. Haitakuwa vizuri kwa binadamu kutoa maoni ya namna ile ukizingatia kuna umwagaji wa damu kwa pande zote mbili.
Mjiandae kufanyiwa hivyo hivyo iwapo mtaruhusu IGA ya DP World kutekelezwa kama ilivyo.kwahiyo unataka sisi tufanye nini?
Ipambanie Ngorongoro maana nao wanatendewa hivyo hivyo tena hauhitaji passportPole sana ni wakati sasa wa kwenda kuchukua passport na kwenda kuwapambania ndugu zako,kupiga kelele humu jf haitokusaidia kitu mana kila siku wanazidi kuangamizwa na kupoteza makazi yao.
Turudi kwenye mstari,Taifa teule lenye kupenda umwagaji damu.
Tena ningalikukuta wewe ktk uwanja wa vita ningalikutungua mwanzoNenda kawasaidie kuwatoa
Tena ningalikukutana na wewe ktk uwanja wa vita ningalikufyeka mwanzaNenda kawasaidie kuwatoa
Hamas na Islamic Jihad ndio wahusika ila Wapalestina wa Gaza wamebebeshwa adhabu yote.
Ipambanie Ngorongoro maana nao wanatendewa hivyo hivyo tena hauhitaji passport
Hawa watu wanateswa sana halafu vyombo vya habari havimliki matukio yanayo wakandamiza lkn likiwa ni la upande wa Wayahudi hata radio za huku vichakani zitapaza sauti.Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi.
Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa iliyoshikana na yote ikijulikana kama maeneo ya Wapalestina. Miji yake maarufu ambayo wengi watakuwa wanaikumbuka ni kama vile Ramallah, Jeusalem, Jeriko, Jenin na kuendelea.
Katika uporaji ambao umefanyika na unaendelea kila siku maeneo hayo yate, yamechongwa kwa vizuizi vya kuta na madaraja kiasi kwamba familia kadhaa haziwezi tena kutembeleana bila kupata ruhusa za askari wa Israel.
Utenganishwaji huo haujakoma katu, kila baada ya muda mfupi familia zilizobaki hupokea nyaraka za kuwataka wahame ili kupisha ujenzi wa makaazi mapya ya familia za Kiyahudi.
Familia zinazokaidi amri hizo kwa hoja hapo ni kwao au hawana pa kwenda hupewa tarehe maalum za kuja kuvunjwa kwa nguvu majengo yao na kweli huvunjwa na wao kuelekea kwa wenzao kabla nako hawajapewa amri nyengine za kuhama.
Ubaya wa vita vinavyoendelea kingo za Magharibi ni kwamba hutekelezwa kwa namna mbili; kuna amri za kiserikali na amri za walowezi ambao wote wamepewa silaha za moto. Ili kurahisisha kazi zao mara nyingi walowezi hao huvaa sare za jeshi au huambatana na majeshi halisi kutekeleza uporaji wao.
Tangu kutokea kwa shambulio la Hamas ndani ya Israel hapo Oktoba 7 hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa mfano, kwenye kijiji cha Qusra familia za Kipalestina zimekuwa zikivamiwa kwenye majumba na mashamba yao ya zaituni na kuuliwa.
Familia moja ya kijiji hicho baada ya kushambuliwa bila sababu na watoto wao kuuliwa walikwenda kufuata maiti kwenye hospitali moja nje ya kijiji. Safari hiyo tofauti na kawaida ya misafara yoo ambapo hupeperusha bendera za taifa la Palestina, waliamua kutoweka bendera. Pamoja na hivyo walowezi waliwafahamu na kuwashambulia na kuua wana familila wengine.
Wapalestina wa maeneo hayo wanasema mikasa ya aina hiyo ni endelevu bila ya msaada wowote na kwamba kila siku wanazidi kuminywa kwenye maeneo finyu yasiyo na huduma nzuri na mwishowe kupoteza ardhi zao kabisa.
View attachment 2788291
View attachment 2788295
BBC:
Palestinians under attack as settler violence surges in the West Bank
Tuna shida hiziVita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi.
Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa iliyoshikana na yote ikijulikana kama maeneo ya Wapalestina. Miji yake maarufu ambayo wengi watakuwa wanaikumbuka ni kama vile Ramallah, Jeusalem, Jeriko, Jenin na kuendelea.
Katika uporaji ambao umefanyika na unaendelea kila siku maeneo hayo yate, yamechongwa kwa vizuizi vya kuta na madaraja kiasi kwamba familia kadhaa haziwezi tena kutembeleana bila kupata ruhusa za askari wa Israel.
Utenganishwaji huo haujakoma katu, kila baada ya muda mfupi familia zilizobaki hupokea nyaraka za kuwataka wahame ili kupisha ujenzi wa makaazi mapya ya familia za Kiyahudi.
Familia zinazokaidi amri hizo kwa hoja hapo ni kwao au hawana pa kwenda hupewa tarehe maalum za kuja kuvunjwa kwa nguvu majengo yao na kweli huvunjwa na wao kuelekea kwa wenzao kabla nako hawajapewa amri nyengine za kuhama.
Ubaya wa vita vinavyoendelea kingo za Magharibi ni kwamba hutekelezwa kwa namna mbili; kuna amri za kiserikali na amri za walowezi ambao wote wamepewa silaha za moto. Ili kurahisisha kazi zao mara nyingi walowezi hao huvaa sare za jeshi au huambatana na majeshi halisi kutekeleza uporaji wao.
Tangu kutokea kwa shambulio la Hamas ndani ya Israel hapo Oktoba 7 hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa mfano, kwenye kijiji cha Qusra familia za Kipalestina zimekuwa zikivamiwa kwenye majumba na mashamba yao ya zaituni na kuuliwa.
Familia moja ya kijiji hicho baada ya kushambuliwa bila sababu na watoto wao kuuliwa walikwenda kufuata maiti kwenye hospitali moja nje ya kijiji. Safari hiyo tofauti na kawaida ya misafara yoo ambapo hupeperusha bendera za taifa la Palestina, waliamua kutoweka bendera. Pamoja na hivyo walowezi waliwafahamu na kuwashambulia na kuua wana familila wengine.
Wapalestina wa maeneo hayo wanasema mikasa ya aina hiyo ni endelevu bila ya msaada wowote na kwamba kila siku wanazidi kuminywa kwenye maeneo finyu yasiyo na huduma nzuri na mwishowe kupoteza ardhi zao kabisa.
View attachment 2788291
View attachment 2788295
BBC:
Palestinians under attack as settler violence surges in the West Bank
Waarabu ndio wavamizMjue tu nani gaidi wa kweli.Umeona huyo mzee hapo juu anavyopigwa mawe na vijana wa kiyahudi.Atawaweza wapi hao.Na kesho kama hakufa hatokuja tena shambani kwake.
Nchi ni ya wayahud waarabu walivamiaMsikiti ulipigwa kwa kombora leo ukingo wa magharibi utasema ni waarabu pia
Mi sisomi historia za kiarabu na kiislam. Mi nasoma history yenyewe kama ilivyo. Waarabu walivamia na kujipa uhalali wa uenyejiUsipotumia akili na kusoma historia utarudia msemo huo huo mpaka mwisho.
acha upuuzi wako huo.History yenyewe ndio nini.Na utaijuwa vipi iwapo unaisoma na tayari una bangi kichwani.Mi sisomi historia za kiarabu na kiislam. Mi nasoma history yenyewe kama ilivyo. Waarabu walivamia na kujipa uhalali wa uenyeji
Upuuzi ni Kuamin kila unachoambiwa na masheikh ubwabwa wako ni sahihi. Mi nilifikir unaakili utuambie kwanini waarabu wanafanya the same story hapo Darfur Sudan na mmekaa kimya. Au wale wamasai wanavyonyang'anywa eneo lao na kuhamishwa kwa nguvu mmekaa kimya. Akiguswa mwarabu tu ndio mnaona binadamu kapigwa ila waafrica kwenu ni mnyama nyambafu.acha upuuzi wako huo.History yenyewe ndio nini.Na utaijuwa vipi iwapo unaisoma na tayari una bangi kichwani.
Wakati ukiandika uangalie mbele na nyuma.Hayo unayosema kama kwamba yanawahusu waarabu pekee na pia huangalii nani mtendaji mkubwa,Upuuzi ni Kuamin kila unachoambiwa na masheikh ubwabwa wako ni sahihi. Mi nilifikir unaakili utuambie kwanini waarabu wanafanya the same story hapo Darfur Sudan na mmekaa kimya. Au wale wamasai wanavyonyang'anywa eneo lao na kuhamishwa kwa nguvu mmekaa kimya. Akiguswa mwarabu tu ndio mnaona binadamu kapigwa ila waafrica kwenu ni mnyama nyambafu.