Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi


Mkuu Nina wasi mko indoctrinated. Sio bure.
 
Hivo huyo jamaa kaumiza raia wa kawaida au ?Sasa kama ni gaidi Si angeumiaa raia wakawaida ,Kuna kitu wafanye uchunguz vzr
 
Gaidi ni mtu yeyote ambaye anafanya mauaji kwa imani zake ziwe za kisiasa au dini. Huyu sio mwizi ni gaidi tupende tusipende.

Kweli kabisa
Kama huyu wa Oklahoma Bombing 1995 ambapo jamaa alilipua jengo la serikali na kuuwa watu 168 na majeruhi 680 wakatangaza kwa kukurupuka kuwa ni Alqhaida ila baadae akajulikana ni mwananchi wa hapohapo kwao
Kweli kila ugaidi ni ugaidi tu

 
Marehemu itakuwa kadhulumiwa na polisi wetu, maana target yake ilikuwa ni hao wadau. Polisi wetu, acheni dhuluma.
 
Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.

Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Tulia wewe, tunajitosheleza. Kanuni ni ile ile iliyotumika Kibiti. Tunawaomba tuu msianze kelele za oooh wanauawa hata wasio na hatia ooh haki za binadamu.
 
Huyu jamaa baba yake amewaachia migodi ya dhahabu chunya wana hali nzuri sana ya kiuchumi,
Kilichotokea ni kwamba jamaa walimtosa visa ya kwenda Ufaransa zaidi ya mara nne nahisi ni kama amewajibu japo hakuwa na huo ujumbe
Kumbe maisha bora tuu, leo katoka home kavaa na viatu tofauti kweli alivurugwa.
 
View attachment 1908146

Kwa akili mbovu ya Polisi wetu, sintashangaa kusikia watu wote hawa waliopiga picha na huyu jamaa wamekamatwa wako ndani "kuisaidia Polisi"
Uchunguzi lazima uanzie kwao ili kujua itakadi yake na mawaidha aliyo-share nao...isije kuwa nao pia walikubariana kufyatua wakati wao ukifika. Lazima wachunguzwe ili polisi wajiridhishe kama hao pia hawana mipango ya kufyatua pia hujo mbeleni. Kwa sasa watakuwa matumbo joto, hata usingizi hautakuja- yaani pressure inapanda na pressure inashuka ukifikiria tu kwamba polisi watakudaka kwa ajili ya mahojiano, na kuna uwezekano wa kuwekwa sero kunyea debe kwa miezi biola kutoka...
 
Tuache ya Marekani, tuongelee huyu wa leo hapa nchini mwetu. Je, ni Muislamu au siyo Muislamu?
Siwezi kujua hasa imani yake ila jina pamoja muonekano wake huonesha ni muislamu,kama nilivyoeleza kwa sasa imekuwa ili uitwe gaidi basi ni lazima uwe muislamu ndio maana nikatoa mfano mfano wa Marekani kwamba matukio hayo ya mtu kushambulia watu kwa risasi na kuuwa hufanyika sana tu ila husikii issue za ugaidi kwa sababu hao wafanyaji wa hayo matukio hawakuwa waislamu ndio maana hayo matukio hayahusishwi na ugaidi kama ambavyo hili tukio la kwetu leo Tz ambalo moja kwa moja linahusishwa au kuhisiwa kuwa ni ugaidi kutokana na mhalifu mwenyewe kuwa ni muislamu/muonekano wa kiislamu.
 
Huyu kidogo unaweza kusema gaidi sio yule wa hai Kilimanjaro
MBOWE SIO GAIDI
 
Huyu jamaa baba yake amewaachia migodi ya dhahabu chunya wana hali nzuri sana ya kiuchumi,
Kilichotokea ni kwamba jamaa walimtosa visa ya kwenda Ufaransa zaidi ya mara nne nahisi ni kama amewajibu japo hakuwa na huo ujumbe
WATAKUWA WALIKAGUA PASSPORT YAKE WAKAONA SAFARI ZAKE NYINGI NI MISRI, MOROCCO, PALESTINA NA LEBANON UKICHANGANYA NA HIYO RANGI BASI WAKAMBANIA. WA

WAZUNGU KUNA RANGI/JAMII WANAZIOGOPA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…