Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kabisa mkuu, polisi wanajua walicjomfanyia mwamba. Hajadhuru raia kadili na wao tu.Siku zote uonevu ndiyo unaozaa ugaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, polisi wanajua walicjomfanyia mwamba. Hajadhuru raia kadili na wao tu.Siku zote uonevu ndiyo unaozaa ugaidi.
Hili tukio kusema ukweli linanitia mashaka sana yani nahisi kabisa kama kuna kitu kinatafutwa hapa na kuna mtu anataka kuangushiwa jumba bovu.
Bado nasema kuwaachia wale uhamsho lilikuwa kosa kubwa na la haraka sana na kusema fulani ni gaidi na kwa mazingira yalivyo kwakweli ni kama tulikuwa tunaomba magaidi waje na wamekuja ...
Hili tukio sio la ujambazi hakuna ujambazi wowote hii ni terror act kabisa na huu ndio ugaidi wenyewe....sio kuwaita wengine magaidi.
Kuna picha akiwa amevaa shati letu Lumumba aiseeUtasikia Gaidi Mbowe ana connection na Hamza wakati kumbe kada wa ccm
Hivo huyo jamaa kaumiza raia wa kawaida au ?Sasa kama ni gaidi Si angeumiaa raia wakawaida ,Kuna kitu wafanye uchunguz vzrHili tukio kusema ukweli linanitia mashaka sana yani nahisi kabisa kama kuna kitu kinatafutwa hapa na kuna mtu anataka kuangushiwa jumba bovu.
Bado nasema kuwaachia wale uhamsho lilikuwa kosa kubwa na la haraka sana na kusema fulani ni gaidi na kwa mazingira yalivyo kwakweli ni kama tulikuwa tunaomba magaidi waje na wamekuja ...
Hili tukio sio la ujambazi hakuna ujambazi wowote hii ni terror act kabisa na huu ndio ugaidi wenyewe....sio kuwaita wengine magaidi.
Gaidi ni mtu yeyote ambaye anafanya mauaji kwa imani zake ziwe za kisiasa au dini. Huyu sio mwizi ni gaidi tupende tusipende.
Polisi wa mkoa wa dsm mshahara wa mwezi huu wakilipwa kweli wameufanyia kazi yaani akili nguvu na jasho limefanya kazi,
[emoji23][emoji23][emoji23]Hyo namba natamani nijaribu kuipiga[emoji848][emoji848][emoji848]
Tulia wewe, tunajitosheleza. Kanuni ni ile ile iliyotumika Kibiti. Tunawaomba tuu msianze kelele za oooh wanauawa hata wasio na hatia ooh haki za binadamu.Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Kumbe maisha bora tuu, leo katoka home kavaa na viatu tofauti kweli alivurugwa.Huyu jamaa baba yake amewaachia migodi ya dhahabu chunya wana hali nzuri sana ya kiuchumi,
Kilichotokea ni kwamba jamaa walimtosa visa ya kwenda Ufaransa zaidi ya mara nne nahisi ni kama amewajibu japo hakuwa na huo ujumbe
Uchunguzi lazima uanzie kwao ili kujua itakadi yake na mawaidha aliyo-share nao...isije kuwa nao pia walikubariana kufyatua wakati wao ukifika. Lazima wachunguzwe ili polisi wajiridhishe kama hao pia hawana mipango ya kufyatua pia hujo mbeleni. Kwa sasa watakuwa matumbo joto, hata usingizi hautakuja- yaani pressure inapanda na pressure inashuka ukifikiria tu kwamba polisi watakudaka kwa ajili ya mahojiano, na kuna uwezekano wa kuwekwa sero kunyea debe kwa miezi biola kutoka...View attachment 1908146
Kwa akili mbovu ya Polisi wetu, sintashangaa kusikia watu wote hawa waliopiga picha na huyu jamaa wamekamatwa wako ndani "kuisaidia Polisi"
Siwezi kujua hasa imani yake ila jina pamoja muonekano wake huonesha ni muislamu,kama nilivyoeleza kwa sasa imekuwa ili uitwe gaidi basi ni lazima uwe muislamu ndio maana nikatoa mfano mfano wa Marekani kwamba matukio hayo ya mtu kushambulia watu kwa risasi na kuuwa hufanyika sana tu ila husikii issue za ugaidi kwa sababu hao wafanyaji wa hayo matukio hawakuwa waislamu ndio maana hayo matukio hayahusishwi na ugaidi kama ambavyo hili tukio la kwetu leo Tz ambalo moja kwa moja linahusishwa au kuhisiwa kuwa ni ugaidi kutokana na mhalifu mwenyewe kuwa ni muislamu/muonekano wa kiislamu.Tuache ya Marekani, tuongelee huyu wa leo hapa nchini mwetu. Je, ni Muislamu au siyo Muislamu?
Utasikia Gaidi Mbowe ana connection na Hamza wakati kumbe kada wa ccm
WATAKUWA WALIKAGUA PASSPORT YAKE WAKAONA SAFARI ZAKE NYINGI NI MISRI, MOROCCO, PALESTINA NA LEBANON UKICHANGANYA NA HIYO RANGI BASI WAKAMBANIA. WAHuyu jamaa baba yake amewaachia migodi ya dhahabu chunya wana hali nzuri sana ya kiuchumi,
Kilichotokea ni kwamba jamaa walimtosa visa ya kwenda Ufaransa zaidi ya mara nne nahisi ni kama amewajibu japo hakuwa na huo ujumbe
Hujipendi wewe[emoji4]Hyo namba natamani nijaribu kuipiga[emoji848][emoji848][emoji848]
Kabisa. Pasipo na haki siku zote na Amani pia huwa haipoSiku zote uonevu ndiyo unaozaa ugaidi.
..au wakasema wamepekua simu yake huyo bazazi na wamekuta alikuwa na mawasiliano na mbowe....!!Usishangae wakaipeleka ilani ya Chadema humo ndani. Na kuibuka na ushahidi. Hao ndio polisi wetu.