Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
Kwa jinsi alivyokamatia mtutu vizuribni wazi huyu jamaa ana mafunzo flan hiv ya siraha,kama sio mafunzo ya ugaidi basi huenda alipita pita JKT
 
Huyu Hamza ni nini kilimpata?? Mbona picha zake na detail zake anaonekana ni jamaa poa tu asieshabihiana na mambo ya kigaidi na ule ubonge si rahisi mtu kudhani anaweza kuua hata mende (kwa jinsi wati wanene wanavochuliwa na jamii kwa sasa) .

Sasa huyu mwamba kajazwa madudu gani huko kichwani hadi aanze kuwachapa shaba askari, kuwapora bunduki na kushambuliana nao. Na jamaa alikua anakitafuta kifo tu na alilijua hilo wala hakua na wasiwasi, nini kalishwa huyu jamaa.
 
Hapa panahitaji hekima sana. Uchunguzi wa kina tusiishie kuangalia documentaries. Tuanze kwa Hamza.
 
Ugaidi na Uislamu, why?
Huyo jamaa bila shaka ni Muislamu. Uislamu una nini kilichojificha???
Ni kwa sababu tumefanya ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, mfano matukio kama hayo ya watu kufanya mashambulizi kwa silaha hufanyika sana huko Marekani ila kwa sababu wafanyaji sio waislamu basi hayo matukio hayahusishwi na ugaidi na hao wafanyaji hawaitwi magaidi.
 
Marehemu ni mtoto wa kishua
IMG-20210825-WA0138.jpg
 
Back
Top Bottom