Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
MUNGU amejibu maombi ya Samia,aliombea Tanzania ipate magaidi,wamepatikana, aendelee kuomba na kupewa anachotaka
 
Huyu Hamza ni nini kilimpata?? Mbona picha zake na detail zake anaonekana ni jamaa poa tu asieshabihiana na mambo ya kigaidi na ule ubonge si rahisi mtu kudhani anaweza kuua hata mende (kwa jinsi wati wanene wanavochuliwa na jamii kwa sasa) .

Sasa huyu mwamba kajazwa madudu gani huko kichwani hadi aanze kuwachapa shaba askari, kuwapora bunduki na kushambuliana nao. Na jamaa alikua anakitafuta kifo tu na alilijua hilo wala hakua na wasiwasi, nini kalishwa huyu jamaa.
Mkuu magaidi wengi wanaouawa kwenye matukio ya ugaidi ni watu poa sana huwezi amini kabisa kuwa wanaweza kufanya hayo wanayoyafanya...
 
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania

FAMILIA ya GAIDI ALIYEUA WACHUKULIWA na POLISI, NYUMBA YAFUGWA MUDA HUU



Source : Global TV online
 
Akili ipi wamashindwa kulenga shabaha hata vunja miguu au bega? Hivi hawa jamaa kitu gani wako competent?
Hili nimeshangaa kweli kweli yani huyo jamaa alikuwa kasimama barabarani peupe kabisa lakini polisi walimfyatulia risasi karibu 20 ndo wakampata na akadondoka chini....!
 
Hivi kisheria ndugu zake wana makosa yapi ?

Kwa wenzetu huwa wanahojiwa na pia wanaonekana hata kwenye tv wakihojiwa na hapo wale wazee wa kusoma ishara au body language ndio hung’amua kama wanahusika ama la

Ila Africa ni tofauti kwanza mitama sana pua lazima ivimbe kabla ya yote

Labda kesi iwe vingine kuliko wanavyohukumu majaji wa JF maana humu mahakama yetu tayari imetoa kesi yote ilivyokuwa

Kweli Gaidi kaacha Ubalozi
Gaidi kaacha wananchi basi huo sio ugaidi tunaousoma kila wakati
 
Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.

Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Tatizo lako siku zote ni kuwahusudu wazungu. Sijui walikumwagia nini mwilini mwako
 
Polisi wa mkoa wa dsm mshahara wa mwezi huu wakilipwa kweli wameufanyia kazi yaani akili nguvu na jasho limefanya kazi,
Akili gani walizotumia?
Shoot 80 off target..

Tena inasemekana jamaa kauawa na sniper wa ubalozi wa France.
Sio police wetu.
 
Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kumbe huyo muuaji ni wa lumumba kwa maccm!!! Imagine jinsi ambavyo polisiccm ingemuhusisha na Mbowe kama kusingekuwa kavaa magwanda ya lumumba.
Chadema chukua tahadhali wasije wakasema tumekuta barua, nyaraka etc etc toka kwa Mbowe/wale vijana maana hawa ni manyangau wakubwa. Kibatala take note of that, hii kitu inaweza ikawa imepikwa. Mara Sabaya alivamiwa na Mbowe, mara diary ya Kigogo, take care please
 
Back
Top Bottom