Ccm huwa hawajui hilo tena hasa kipindi cha uchaguzi,Mkuu kuna maisha zaidi ya hizi siasa zetu za uhasama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm huwa hawajui hilo tena hasa kipindi cha uchaguzi,Mkuu kuna maisha zaidi ya hizi siasa zetu za uhasama
MUNGU amejibu maombi ya Samia,aliombea Tanzania ipate magaidi,wamepatikana, aendelee kuomba na kupewa anachotakaHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Mkuu magaidi wengi wanaouawa kwenye matukio ya ugaidi ni watu poa sana huwezi amini kabisa kuwa wanaweza kufanya hayo wanayoyafanya...Huyu Hamza ni nini kilimpata?? Mbona picha zake na detail zake anaonekana ni jamaa poa tu asieshabihiana na mambo ya kigaidi na ule ubonge si rahisi mtu kudhani anaweza kuua hata mende (kwa jinsi wati wanene wanavochuliwa na jamii kwa sasa) .
Sasa huyu mwamba kajazwa madudu gani huko kichwani hadi aanze kuwachapa shaba askari, kuwapora bunduki na kushambuliana nao. Na jamaa alikua anakitafuta kifo tu na alilijua hilo wala hakua na wasiwasi, nini kalishwa huyu jamaa.
Hili nimeshangaa kweli kweli yani huyo jamaa alikuwa kasimama barabarani peupe kabisa lakini polisi walimfyatulia risasi karibu 20 ndo wakampata na akadondoka chini....!Akili ipi wamashindwa kulenga shabaha hata vunja miguu au bega? Hivi hawa jamaa kitu gani wako competent?
Kumbe alikua kanda wa ccm[emoji23][emoji23]
😆😆😆😆MUNGU amejibu maombi ya Samia,aliombea Tanzania ipate magaidi,wamepatikana, aendelee kuomba na kupewa anachotaka
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania
FAMILIA ya GAIDI ALIYEUA WACHUKULIWA na POLISI, NYUMBA YAFUGWA MUDA HUU
Source : Global TV online
Uko vizuri, ila tusubiri tuone...Kuna kitu kinatafutwa...ngoja tuone...ila sijui kwanini nina mashaka sana
Hivi kisheria ndugu zake wana makosa yapi ?
Tatizo lako siku zote ni kuwahusudu wazungu. Sijui walikumwagia nini mwilini mwakoWacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Mungu wabariki wazunguTatizo lako siku zote ni kuwahusudu wazungu. Sijui walikumwagia nini mwilini mwako
Akili gani walizotumia?Polisi wa mkoa wa dsm mshahara wa mwezi huu wakilipwa kweli wameufanyia kazi yaani akili nguvu na jasho limefanya kazi,
Kadhulumiea madini yake......mpolisi wanajua hilo deal waache propaganda huyu sio majambazi wala GaidiJamaa sijui kakubwa na nini huyu
Chadema chukua tahadhali wasije wakasema tumekuta barua, nyaraka etc etc toka kwa Mbowe/wale vijana maana hawa ni manyangau wakubwa. Kibatala take note of that, hii kitu inaweza ikawa imepikwa. Mara Sabaya alivamiwa na Mbowe, mara diary ya Kigogo, take care please