Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Mimi nadhani, walitakiwa kutumia mbinu zao ama za wenzao katika maeneo hayo, kuwatia korokoroni wote wanaowasingizia viongozi ama viongozi wenyewe wanaohusika kulazimisha vijana wao kuingia jeshini. Tena hili zoezi lingefanyika kimya kimya!

Nadhani Jeshi ni muhimu sana kujiepusha na ya kwenda kwenye vyombo vya habari labda kama suala ni kubwa sana tena sana (Nawaza).
 
Haya kila mtu arudi akachape Kazi, tamko limeisha. Watanzania tuna roho mbaya sana, hatuna shukran, Taifa la malalamiko.
Kazi iendelee[emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi nimesha'unsubscribe...
 
Utopolo kamilifu
 
Huu utani sasa. Jeshi linaongelea uhuni huu
 
Tufunge na kuomba ili jeshi letu hili la wananchi (JWTZ) lisiingie kwenye mihemko ya Kisiasa kama Jeshi la Polisi la SIRRO na KINGAI. Hovyo kabisa. Tumebakiwa na taasisi na chombo imara kimoja tu cha watanzania wote, ni JWTZ
 
Kwahiyo umeanza kuhukumu kabla ya kusikia kitakachoongelewa??
Eti kweli!

What if wakija kivingine kwamba wanataka kupambana na ukame kama wanavyotumika kupambana na majanga ya kitaifa?

What if wakisema wanataka ku-roll back Omicron Variant nchini?

What if wakisema wanataka kuongezea nguvu Councils ili madarasa yakamilike kabla ya Januari 15?

Tutasema wanatumika vibaya? The cost of preempting an idea is overwhelming for the universe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…