Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Kuna mtu ameuliza swali la msingi humu hajajibiwa hadi sasa
Taarifa za kijeshi zinatolewa mahali ambapo kuna #NGOME, Dodoma haina #NGOME, Makao Makuu ya Jeshi ni Political Office, Makao Makuu ya Jeshi (Politically) yanafuata mahali ilipo Wizara ya Ulinzi. Makao Makuu ya Jeshi hayawezi kukaa mbali na Wizara ya Ulinzi lakini #NGOME inaweza. Jeshi likitaka kusema na umma kwa habari za kiserikali basi litaongea kutokea Makao Makuu ya Jeshi ambayo ni Dodoma, lakini linapotaka kutoa habari za kijeshi lazima liende penye #NGOME yake.
 
Hii taarifa ni ya kuita vyombo vya habari kweli? Hau wamebadili gia angani, mbona hii taarifa wangesambaza kwa vyombo vya habari hata jana ingeeleweka tu!
Inawesekana awamu iliyopita kuna mambo hayakwenda sawa sasa wanayaweka sawa
 
Tangazo la Jana Lina uzito zaidi kulinganisha na haka "kapress" uchwara ka leo.
 
Walileta taharuki mchumi kumbe wangetoa waraka tuu ingetosha
 
Ahsante kwa taarifa...

Jeshi linapohitisha press conference hua inaleta tension sana nchini, kumbe ni issue za Human Resource...
 
haya mambo si yalipaswa yasemwe na wizara ya ulinzi na is jeshi lenyewe? huko nyuma yalikuwa yanasemwa na waziri wa ulinzi au ye yote kwa niaba yake, huyu mabeyo ameamua kufanya hivi kwa kuwa rais na waziri wa ulinzi ni wanawake?
Majeshi yote yana Wasemaji wake ambao ni Wanajeshi.
 
Yaani jeshi linaitisha press kulalamika! Hili nalo lilikuwa la press au ni kutoa Katazo la kawaida tu?
Mimi nimeelewa kwamba "wanafafanua" hawatoi tamko/katazo. Wanapofafanua jambo inawezakuwa usahihi wake ulipotoshwa, hivyo lengo lao ni kufanya watu wote wawe kwenye standard communication loop.
 
Back
Top Bottom