Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kuna kitu Cha maana hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa za kijeshi zinatolewa mahali ambapo kuna #NGOME, Dodoma haina #NGOME, Makao Makuu ya Jeshi ni Political Office, Makao Makuu ya Jeshi (Politically) yanafuata mahali ilipo Wizara ya Ulinzi. Makao Makuu ya Jeshi hayawezi kukaa mbali na Wizara ya Ulinzi lakini #NGOME inaweza. Jeshi likitaka kusema na umma kwa habari za kiserikali basi litaongea kutokea Makao Makuu ya Jeshi ambayo ni Dodoma, lakini linapotaka kutoa habari za kijeshi lazima liende penye #NGOME yake.Kuna mtu ameuliza swali la msingi humu hajajibiwa hadi sasa
Mtwara majeshi si yameweka kambi kule, wale jamaa wa Msumbiji si wanakimbizwa kuleKwani Mtwara Kuna Nini?
Ooh sawa mkuu yaani Kama sipo bongo vile nilisha sahau hiyo issueMtwara majeshi si yameweka kambi kule, wale jamaa wa Msumbiji si wanakimbizwa kule
Inawesekana awamu iliyopita kuna mambo hayakwenda sawa sasa wanayaweka sawaHii taarifa ni ya kuita vyombo vya habari kweli? Hau wamebadili gia angani, mbona hii taarifa wangesambaza kwa vyombo vya habari hata jana ingeeleweka tu!
Wameleta hataruki hawaTangazo la Jana Lina uzito zaidi kulinganisha na haka "kapress" uchwara ka leo.
🤣🤣🤣🤣🤣kusubiri kote huku, ni upuuzi kumbe ?
Majeshi yote yana Wasemaji wake ambao ni Wanajeshi.haya mambo si yalipaswa yasemwe na wizara ya ulinzi na is jeshi lenyewe? huko nyuma yalikuwa yanasemwa na waziri wa ulinzi au ye yote kwa niaba yake, huyu mabeyo ameamua kufanya hivi kwa kuwa rais na waziri wa ulinzi ni wanawake?
🤣🤣🤣🤣Nimekuja mbiiiiiio, kumbe daah.
Ngoja nirudi kule kwa Mh,Mbowe nikaone functions za haki zinavyo endelea.
Paki mabegi kabisaTunasubiri kama ni kuhama nchi watawambie tujiandae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh kwahio tayari Press imeisha?
Mimi nimeelewa kwamba "wanafafanua" hawatoi tamko/katazo. Wanapofafanua jambo inawezakuwa usahihi wake ulipotoshwa, hivyo lengo lao ni kufanya watu wote wawe kwenye standard communication loop.Yaani jeshi linaitisha press kulalamika! Hili nalo lilikuwa la press au ni kutoa Katazo la kawaida tu?