Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Au wameamua kutolisema?
Wamesoma upepo kwanza, na kuacha walichokusudia kapuni????????????
 
For the first time nimekua disappointed na Jeshi langu. Daah
 
Hii taarifa ni ya kuita vyombo vya habari kweli? Hau wamebadili gia angani, mbona hii taarifa wangesambaza kwa vyombo vya habari hata jana ingeeleweka tu!
Watakuwa wameshtuka. Haiwezekani taarifa kama ambayo haina mbele wala nyuma ndiyo ikawa issue ya kuita vyombo vya habari ......!!
 
Medical Philosophy has it that, "at 40 no one is stable health-wise" Goodluck Jonathan, Mwai Kibaki, Levy Mwanawasa, Jacob Zuma, Museveni, Daniel Moi, Nelson Mandela, Hosni Mubarak, Siad Barre, Biden, Boris Yeltsin e.t.c, e.t.c provide case studies for this philosophy.
 
Slaa alikuwa anadukua siri za serikali, pia dini mojawapo kati ya dini zilizoko nchini haimkubali labda angeslimu kwanza. RC yenyewe haimkubali tangu alipotelekeza wito na RC ndiyo kingunge wa siasa za uchaguzi duniani.
 
jeshi wanashindwaje kuwamaliza hao matapeli kimya kimya
Alafu baada ya kuwamaliza kimya kimya waje walaumiwe kwamba wanapoteza watu?! Hapa duniani, kila ulifanyalo lina sura mbili: moja, linapendwa na kuungwa mkono na baadhi ya watu, pili, halipendwi na haliungwi mkono na baadhi ya watu. Duh!
 
Mkuu

Hivi Hilo jina bujibuji linamaana gani hasa?

Kwanini kila mada lazima uchangie?

Kwanini huna polite language?

Aksante kwa kunielewa nasinasu majibu
Bujibuji maana yake kivuruge. Na pia ni kama panya tu, akiwepo sehemu lazima afanye fujo tu kukujulisha muharibifu yupo hapa.

Kuhusu polite language mimi ni kama kioo, ukinichekea na mimi nacheka.

Pia huwa nakunywa sumu as a part of my breakfast. Humeniyerewha?
 
Ndugu yangu aliyeitisha Kikao ni mabeyo ama msemaji wa jeshi?
Jeshi Lina msemaji wake na ndio huyo hapo kaitisha Kikao, hivi kati u wa wizara na msemaji wa jeshi yupi kauli yake ni rasmi zaidi kwenye kutoa maelezo ya kijeshi
Habari za #kijeshi haziwezi kutolewa na raia, KM wa wizara ni raia. KM atatoa habari za #kiserikali zinazohusu jeshi.
 
jumapili nitaita press namm nieleze wajawazito wangapi wamerudi shule na mpaka sasa shule zetu zinawajukuu wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…