Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
this is true, my friend aliwahi fanya kazi game alipomaliza chuo na aliniambia pale wafanyakazi 90% ni wezi, yani wanaibia kampuni kupitia wateja, ukienda kununua fridge anakwambia kuna kama ilo mahali ila bei chee so unampa % flani then kweli anakupa kwa bei chee ambayo hata ubgeenda kaliakoo usingepata kwa hiyo bei, pia niliwahi enda kununua frizer la sister 2017, basi nikapenda ka microwave flani hivi kalikua amazing, mfanyakazi wa pale akaniambia hiyo microwave ni 380k ila we nipe laki 150k tu unaibeba, nikasema [emoji50]? akasema ila hutapata receipt nikasema poa, imagine kumbe waiweke ile microwave ndani ya frizer so nilipie frizer tu.... mmmh nikasema basi tarudi badae ngoja nikaongeze hela ndio nikatokonea manake nikasema mmh tukikamatwa na mimi niitwe mwizi[emoji23].Hapana ni wizi wa wafanyakazi. Biashara ipo ila unakuta mfano mlimani city unanunua TV then mfanyakazi wa hapo Game anakuambia ipo TV aina ile ile bei chee unatoka naye anaenda kweli anakuuzia kwa bei ndogo. Kwa hiyo unakuta biashara nyingi Africa Mashariki labda uwe na usimamizi, ila Kenya, Tz na Uganda raia wake wezi mno
Ila kiukweli watanzania jamanai ni wezi sana, wanaharibu sana biashara za watu kwa kuiba iba, wanaharibu sana makampuni kwa kuiba iba sana, yani ni tooo much, ninefany kazi baadhi ya sehemu kiukweli watu wanawaza tu jinsi gani wataiibia kampuni, yani hawawazi jinsi gani ya kuiendeleza kampuni, ndio maana wachaga huona bora waajiri ndugu zao kidogo watakua na uchungu, ndio maana wahindi washajua sasa wanaona bora atafte wahindi wenzake awalete hata ahonge ila awalete ndio wasimamie sehemu nyeti hasa zinazohusu fedha, watu watabaki kulalamika ajira hakuna and so and so but wanasahau kua siku hizi watu wanaajiri watu wanaowajua sababu ya mambo hayo ya wizi. Mtu anaanza kazi ila anataka baada ya mwezi anunue gari, apange nyumba nzuri eneo zuri, apate demu mkali, atoke out kwenye sehemu za gharama, aanze kushop sprash shop etc ndio anawaza bora aibe apate hayo. so sad.