wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Saa nyingine unaweza kuta unamjibu mtu ambae ni kula kulala home,hajui mtaani pakoje mkuu.Yaani ununue wewe viharibike alafu ujumuishe vitu na watu wote?.Kuna kifaa gani ambacho hakiharibiki duniani.ata hivyo inaonekana wewe ndiye ambaye uko rough.Maana tuko wengi tu tumeshanunua vitu kwao na bado vipo.Tatizo la mtu mmoja mmoja halipaswi kua tatizo la watu wote.Unasema wafunge kirahis tu bila kujua ilo ni anguko la kiuchumi na kwa sehemu kubwa litatugusa sisi wenyewe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app