Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Baaaasi ndo wabongo mlivyo!! yaani hamchelewi kujulikana!Vipi kutakuwa na bei ya promo ili kumaliza mzigo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baaaasi ndo wabongo mlivyo!! yaani hamchelewi kujulikana!Vipi kutakuwa na bei ya promo ili kumaliza mzigo?
Uongo mwingine hata haufaagi kuusikiliza sasa muuzaji atatoka saa ngapi kazini kwake na mteja , akaiuze hiyo TV bila kujulikana? atauza ngapi hajakamatwa? au hupajui Mlimani City weye?Hapana ni wizi wa wafanyakazi. Biashara ipo ila unakuta mfano mlimani city unanunua TV then mfanyakazi wa hapo Game anakuambia ipo TV aina ile ile bei chee unatoka naye anaenda kweli anakuuzia kwa bei ndogo. Kwa hiyo unakuta biashara nyingi Africa Mashariki labda uwe na usimamizi, ila Kenya, Tz na Uganda raia wake wezi mno
Uchumi umedorora , watu hoi mfukoniUongo mwingine hata haufaagi kuusikiliza sasa muuzaji atatoka saa ngapi kazini kwake na mteja , akaiuze hiyo TV bila kujulikana? atauza ngapi hajakamatwa? au hupajui Mlimani City weye?
Mteja gani anaye taka kuburuzwa uchochoroni hukooo! ki wizi wizi??...semeni ukweli tu Bongo hakuna helaa!! kuna vijicent vya Mawazo tuu!......vichafuuu!!..mnavutana vutana kiumaskini!
Cannibalistic living system and standards , typical of third world countries ,Sio wa tz wezi! Mfumo wa maisha "kama huli_unaliwa" tunaelekea kama walivyo wa naigeria
Hii mentality inaanzia juu serikalini mpaka level ya chini kwa mnunuzi /mlaji , unakuta serikali inapiga kodi kubwa zisizoendana na uhalisia au kuempose harmful & unnecessary policies or regulations then biashara wanareplicate effect hiyo kwa wafanyakazi kwa kuminya maslahi then wafanyakazi nao wanaiba ,kufanya hujuma na vimbwanga kibao then biashara nayo inaamua kuuza bidhaa au huduma feki / bidhaa au huduma kwa bei kubwa sana / kukwepa kodi then effects hizi zinamkuta mwananchi ,hii ndio multiplier effect sasaSio wa tz wezi! Mfumo wa maisha "kama huli_unaliwa" tunaelekea kama walivyo wa naigeria
Kaa kushoto huko nyau weweBaaaasi ndo wabongo mlivyo!! yaani hamchelewi kujulikana!
Yaani mambo mengine ukiyafikiria kwa kina yana pagawisha sana!Hii mentality inaanzia juu serikalini mpaka level ya chini kwa mnunuzi /mlaji , unakuta serikali inapiga kodi kubwa zisizoendana na uhalisia au kuempose harmful & unnecessary policies or regulations then biashara wanareplicate effect hiyo kwa wafanyakazi kwa kuminya maslahi then wafanyakazi nao wanaiba ,kufanya hujuma na vimbwanga kibao then biashara nayo inaamua kuuza bidhaa au huduma feki / bidhaa au huduma kwa bei kubwa sana / kukwepa kodi then effects hizi zinamkuta mwananchi ,hii ndio multiplier effect sasa
Na hapa hatuvuki leo wala kesho!Cannibalistic living system and standards , typical of third world countries ,
Wakifunga mwingine atakuja kufungua mpya. Tatizo labda wanayauza bei sana hayo masupa maketi yao.
Ebu mlipe mswahili dola elf 3, nyumba na usafiri uone kama atakuibia.
Watu mnafanya kazi moja na wewe ndo unahangaika sana unapewa laki 6 usafiri na nyumba juu yako unategemea matokeo sawa?
Ila sikubaliani na kuwa wezi tutafute namna ya kudai maslahi mazuri.
Maweee!! hujui kuona!! mie siyo Nyau labda wewe!Kaa kushoto huko nyau wewe
Duh ! Kwa Hali hii tunakazi aisee , hatutoboi ng'oNa hapa hatuvuki leo wala kesho!
Kipindi cha nyuma nilishakua na boss mmoja mchina kwenye story za hapa na pale haswa za maswala hayahaya ya vibali na uendeshaji wa biashara alinieleza swala moja, alitumia lugha nyepesi sana ila ilikua nzito sana haswa kwa utaratibu wa nchi kama yetu!
" Unafuga kuku wakati na wewe ni mlevi wa nyama ya kuku, ukianza kumla kuku utakua huoni mbele zaidi pia utakua umeshindwa kujielewa kua wewe unapenda kula nyama ya kuku kwa kiasi gani, maana ukimla huyo mmoja inamaana siku itakayo fuata utakua huna kuku wa kumla
utalazimika either ukanunue kuku kwa gharama ili ummle tena au ukae na hamu yako mpaka upate ngekewa tena,
( haya ndio yanayo tusibu kwenye system zetu ), kama una ulevi wa nyama ya kuku, mfuge huyo kuku umlee mtafutie na mwenzie ili aanze kutaga, watotoe mayai wawe kuku wengi hata kwa matoteo matatu utakua na kuku wa kutosha hata na hao walio totolewa watakua wamesha anza kutaga nao wana totoa, hivyo hata ukiamua kula kuku leo kesho ule mayai itakua ni faida kwani watakua wengi na huto wamaliza itafika mahala hata utawauza na wengine, ndio utakua umefanikiwa,
ila mfumo wetu ulivyo, kuku huyo huyo anaanza kutaga mara umemkwanyua mguu, mara umemkwanyua bawa atazalisha vipi!!? Kama sio mayai aliyo anza kutaga yataishia kua viza!!?
Aliongea kauli hiyo huku kiwanda chake kikiwa kimefungwa upande tena kwa sababu za ajabu, na alikua amekamilisha vitu vingi na mashine kaagiza production line si chini ya mil400 na chenj na alichotakiwa alipie alikua amesha lipia c chini ya mil25 ila kwenye system ilikua haionekani, kumbuka ni muwekezaji, akahitajika kulipa nyngine ambapo ilimtoka mil27 hapo bado eneo analipia kwa mwaka ma millioni ya kutosha bado umeme tu kwa mwezi ilikua ina range kwy mil14 mpaka 17 bado maji, aisee nilimuonea huruma, na hata mtambo wenyewe alio uagiza haukufanya kazi hata miezi mi5 akapigwa chini! Sasa pata picha! Sijui yupo wapi au alisha rudi kwao ila ina sikitisha sana utitiri wa kodi mara hivi mara vile